Umewahi kujiuliza hili?

hili swali waipaswa waulizwe wale babu zetu bahati mbaya wengine hatuwajui sura zao kwani walishafariki kitamboo
 
Mimi baba yangu jina lake linaanzia na herufi L,au una maana nyingine nini??
 
labda kwa kabila lenu, ila kwetu hiyo kitu haipo.
 
mi baba yangu jina lake halianzi na M
 
Nadhani unamaanisha majina ya ukoo i mean surnames
 
Labda kule kwa kina mwakipesile na mwakajumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…