sio ukae na kunisema nielekeze nijue maana halisi ya neno rock au lock
Yani we ndugu yangu wa Geita bwana, unakoseaga sana kiswahili is not just once, au mkimbizi nini
Sent from Mchina
Umeona eehh. Yaani huyu dada kazidi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unamchokoza huyu dada, shauri yako subiri comment yake hapo oooh utadaiwa sasaivi
Sent from Mchina
Asante Lady niece, nachojua smartphone nyingi zina features ambazo waweza kuifuatilia sehemu ilipo na wakati mwingine hata number ya line ya anaeitumia. Ingia google utapata maelekezo zaidi but you can put securities.
Ni takribani mwezi mmoja umepita nilikuja JF kuomba msaada baada ya kuibiwa simu yangu pale Darajani kuelekea mataa ya Changombe. Kwa bahati nzuri nimeipata jana baada ya mtu kuipeleka I-store Mlimani city apate msaada ya kuifungua (Istore n dealers wa Apple product Authorised agents), wahudumu walipoiunganisha na computer zao wakakuta iko locked na ujumbe wangu kwamba simu ile ilikua imeibiwa, atakaeipata anipigie simu kwa number nilizokuwa nimeweka pale, wakanipigia simu wakanieza stori nzima waiomba niende na ID card. Alikua kijana mdogo (sitoweka number yake hapa wala jina lake but kwa maelezo ya wahudumu pale istore, simu hiyo alipewa na kaka yake. Asanteni kwa wale mlionipa moyo kuwa itapatikana na wale waliokuwa wanaitafuta kimya kimya. Kwa ambao walikua hawajaona, hii link ndio niliotoa siku nimeibiwa. https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/608175-zawadi-nono-iphone-5-a.html
Jamani nauliza kama kuna option ya kufuatilia au kulock cm za nokia (smartphone)Huo ujumbe unauwekaje?
Jamani nauliza kama kuna option ya kufuatilia au kulock cm za nokia (smartphone)
Siku tatu zilizopita nimeibiwa Nokia Lumia 820 window phone
Yaani imeniuma sana na ni kama mwezi tu tangu niinunue
Asante mkuu, uzuri wa hizi iphone, ukifanikiwa kuifunga mapema pale tu inapoibiwa, hakuna mtu au fundi anaweza kuiflash. Hata apple wenyewe ukiwaomba waifungue wanakuambia mtafute owner wake ndio anaweza. So utaipata tu labda aamue kuitupa tu.
Next time download hii makitu: McAfee Mobile Security
du hongera sana, kuna simu zingine kuibiwa ni vigumu, hivi angeenda kuiflash nayo pia ungeipata?