Ni takribani mwezi mmoja umepita nilikuja JF kuomba msaada baada ya kuibiwa simu yangu pale Darajani kuelekea mataa ya Changombe. Kwa bahati nzuri nimeipata jana baada ya mtu kuipeleka I-store Mlimani city apate msaada ya kuifungua (Istore n dealers wa Apple product Authorised agents), wahudumu walipoiunganisha na computer zao wakakuta iko locked na ujumbe wangu kwamba simu ile ilikua imeibiwa, atakaeipata anipigie simu kwa number nilizokuwa nimeweka pale, wakanipigia simu wakanieza stori nzima waiomba niende na ID card. Alikua kijana mdogo (sitoweka number yake hapa wala jina lake but kwa maelezo ya wahudumu pale istore, simu hiyo alipewa na kaka yake. Asanteni kwa wale mlionipa moyo kuwa itapatikana na wale waliokuwa wanaitafuta kimya kimya. Kwa ambao walikua hawajaona, hii link ndio niliotoa siku nimeibiwa. https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/608175-zawadi-nono-iphone-5-a.html
Safi sana mkuu, wengi huwa wanapuuzia kuwasha ile option ya "find my iphone". Apple wako strict sana kwenye product zao mpaka wanaboa, kuna simu nilisahau password mpaka leo ni useless, na juhudi za kuwasiliana nao wareset zinagonga mwamba wakati vielelezo vyote vya umiliki vipo!! Halafu iStore sidhani kama ni "authorized" dealer wa apple, ni reseller tu wananunua na kuuza.
Sijui kama naruhusiwa kutoa pole, Ok Pole sana ndugu yangu. Naamini utaipata tu, kwasasa naamini iko kwa mafundi wa kibongo wakiamini wataweza kuiflash.....utaipata tu. Amini hivyo
Asante sana Elli. Naamini hivyo
Ndugu Charles, hongera sana kupata simu yako.mimi naomba unisaidie jinsi ya kui lock simu yangu ni samsung galaxy note 2.pls brother.
Simu nyingi siku hizi hasa hizi smartphone zina hizo options. Jaribu kuingia google, search aina ya simu yako na security features utajifunza mengi tu.[/QUOT
Shukrani Mkuu.
hongera kwa kuipata hiyo simu yako itabidi nami niweke rock na unifundishe namna ya kuweka rock kwa simu yangu aina ya lg smartphone
nimeipata jana baada ya mtu kuipeleka I-store Mlimani city apate msaada ya kuifungua (Istore n dealers wa Apple product Authorised agents), [/URL]
Maneno meeeengi.
Mbona kama Promotion ya kiainaaina vile kwa hao jamaa awa Apple?
hongera kwa kuipata hiyo simu yako itabidi nami niweke rock na unifundishe namna ya kuweka rock kwa simu yangu aina ya lg smartphone
hongera kwa kuipata hiyo simu yako itabidi nami niweke rock na unifundishe namna ya kuweka rock kwa simu yangu aina ya lg smartphone
Hiyo inaonyesha huyo dogo alikuwa hajui kama ni ya wizi na ndio maana ameenda moja kwa moja kwa reseller wa apple.
Kwa sasa kuna wadau wengi tu ambao wana unlock iPhone huku mitaani na nyingi zinasemekana kuwa za wizi. Hongera mkuu.
Duh!!! Wewe mkali kweli, yaani unataka kuweka rock!!!. Sio rock, ni LOCK.
Yani we ndugu yangu wa Geita bwana, unakoseaga sana kiswahili is not just once, au mkimbizi nini
Sent from Mchina
bora ya mm ninayekosea na kufundishika kuliko wewe mkurya usiyetaka mabadiliko
sasa hiy sent from mchina na mm niliyesema rock nani mwamba hapo?
muelekeze mtu maana halisi sio kumchimba kiasi hicho kwani atafundishikaje au atajuaje?
watanzania bhana :A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465: