JipuKubwa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2013 Posts 2,342 Reaction score 2,390 Sep 4, 2016 #21 Nachangia sana
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,118 Reaction score 5,370 Sep 4, 2016 #22 mbapa said: Nmechangia ila hawakunipa utambulisho Click to expand... nadhani ni ikichangia kama mara 3 hivi ndio unapewa kitambilisho
mbapa said: Nmechangia ila hawakunipa utambulisho Click to expand... nadhani ni ikichangia kama mara 3 hivi ndio unapewa kitambilisho
L Lwasu JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,301 Reaction score 1,229 Sep 4, 2016 #23 Wakati nipo shule walikuja tukachangia sasa kuna mwenzetu akaugua akalazwa na akahitaji aongezewe cha ajabu tukaambiwa tununue damu tangia siku ile sijachangia tena damu!!!!
Wakati nipo shule walikuja tukachangia sasa kuna mwenzetu akaugua akalazwa na akahitaji aongezewe cha ajabu tukaambiwa tununue damu tangia siku ile sijachangia tena damu!!!!
iwamusani JF-Expert Member Joined Aug 17, 2014 Posts 336 Reaction score 318 Sep 4, 2016 #24 Joycefull said: hata nikichangia nina hakika yangu wataimwaga tu Click to expand... Kweli?
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,137 Sep 4, 2016 #25 Nataman sana ila yangu ni +
Penguini JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 388 Reaction score 298 Sep 4, 2016 Thread starter #26 Threesixteen Himself said: ! ! it is more safe to assume it is not safe mkuu. Tatizo wao wanachukua tu kumwaga wanamwaga mbele huko Click to expand... Kabla hawajachukua wanapima kwanza!
Threesixteen Himself said: ! ! it is more safe to assume it is not safe mkuu. Tatizo wao wanachukua tu kumwaga wanamwaga mbele huko Click to expand... Kabla hawajachukua wanapima kwanza!
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,209 Reaction score 1,973 Sep 4, 2016 #27 Kila mwaka huwa nachangia mara mbili lakini nasikitika sana kusikia damu ikiuzwa wakati tunaitoa bure.
Kila mwaka huwa nachangia mara mbili lakini nasikitika sana kusikia damu ikiuzwa wakati tunaitoa bure.