Hii ni kinyume ya kula tunda kimasihara auMiaka fulani hivi nyuma mimi na jamaa zangu watatu tulijijengea akili ya kuogopa sana ngoma, yaani ilikua tukipiga story za mapenzi tunaongelea ngoma tu all the time hiyo ikafanya kila mwanamke tukimuona tuhisi kama ni HIV+.
Hiyo ilipelekea kukosa kula mbususu kizembe kwa mtoto mmoja aliyekua anatoka chuga kuja shule mkoa mmojawapo nyanda za juu kusini, akiwa kwenye gari tulikua tukiwasiliana kawaida tu lakini ilivyofika saa tatu akaniambia anadhani atachelewa sana kufika na sehemu gari ingemshusha mpaka shule ni mbali kiasi nikamwambia usiogope utapata boda mvua ilikua inanyesha hiyo siku mi nikalala mpaka saa 7 usiku simu inaita kucheki ni yeye akaniambia anakaribia sehemu ya kushukia na hiyo sehemu na ghetto kwangu sio mbali na kulikua na kimvua basi nikasema ngoja nije stend nikusaidie kutafuta boda....nikafika stend nikasubiri kama dakika 10 bus likafika binti akashuka na vi mizigo baadhi.
Kimasihara nikamwambia hii mizigo na hii mvua tena kwa bodaboda mbona utaloa kwanini usilale kwangu, akaniambia sitakua comfortable niliwish nimalize safari now nipumzike mpaka kesho mchana, nikamwambia lakini situation unaiona basi akasema twende kwako, tukachukua boda ikatufikisha ghetto ni karibu tu toka stend kwa sababu ya mvua na mizigo ndo maana tukachukua boda.
Nikampashia maji akaoga kuhusu kula akaomba chai tu nikampashia akanywa muda wa kulala nikamwambia utalala kitandani mimi nitalala kwenye sofa, kweli akalala kitandani but mm usingizi ukawa haupo kabisa nawaza nimege au niache ile mindset ya ngoma ndo ikawa inazunguka kichwani mwangu na hofu ilizidi kwa sababu binti alikua na viupele kidogo tu hivyo nikawa najudge vile viupele si inaweza kuwa ngoma hii, mwisho wa siku nikalala kukakucha mpaka mida ya saa nne binti anaondoka nikiwa sijafanya chochote na nafasi ile kamwe haitajirudia na ninaijutia ile nafasi ya kukusa mbususu kizembe mpaka sasa.
Tuambie wewe ulikosaje mbususu kizembe.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Endapo ningepiga ina maana ushuhuda ungeenda kwenye kula tunda kimasihara means kweli ni kinyume chake.Hii ni kinyume ya kula tunda kimasihara au
Vipi unahitaji cheti mkuu??😂😂😂 crazy for life duuuh kweli bipolar is real sio utani watu wamevurugwa
Tunaeza kupa special crazy mind Kama mpwayungu village😂 Na mimi niwe Chizi Maarifa au CHIZI VITABU ?
Sawa warrenTunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa katika hospital yetu ya crazy for life.
Ambapo alitoroka jana na kuiba simu ya ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.
Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilieni.
Naambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospitalView attachment 2474364
Crazy University School au Crazy Hospital are you a Warden or a Nurse? Umeolewa?Tunaeza kupa special crazy mind Kama mpwayungu village
I got some big balls niggaCrazy University School au Crazy Hospital are you a Warden or a Nurse? Umeolewa?
Any records?I got some big balls nigga
Any records? Are you crazy?Dude, you want some records about my dick for real??
Haujaelewa nini?What phuc is. This ?
WellMiaka fulani hivi nyuma mimi na jamaa zangu watatu tulijijengea akili ya kuogopa sana ngoma, yaani ilikua tukipiga story za mapenzi tunaongelea ngoma tu all the time hiyo ikafanya kila mwanamke tukimuona tuhisi kama ni HIV+.
Hiyo ilipelekea kukosa kula mbususu kizembe kwa mtoto mmoja aliyekua anatoka chuga kuja shule mkoa mmojawapo nyanda za juu kusini, akiwa kwenye gari tulikua tukiwasiliana kawaida tu lakini ilivyofika saa tatu akaniambia anadhani atachelewa sana kufika na sehemu gari ingemshusha mpaka shule ni mbali kiasi nikamwambia usiogope utapata boda mvua ilikua inanyesha hiyo siku mi nikalala mpaka saa 7 usiku simu inaita kucheki ni yeye akaniambia anakaribia sehemu ya kushukia na hiyo sehemu na ghetto kwangu sio mbali na kulikua na kimvua basi nikasema ngoja nije stend nikusaidie kutafuta boda....nikafika stend nikasubiri kama dakika 10 bus likafika binti akashuka na vi mizigo baadhi.
Kimasihara nikamwambia hii mizigo na hii mvua tena kwa bodaboda mbona utaloa kwanini usilale kwangu, akaniambia sitakua comfortable niliwish nimalize safari now nipumzike mpaka kesho mchana, nikamwambia lakini situation unaiona basi akasema twende kwako, tukachukua boda ikatufikisha ghetto ni karibu tu toka stend kwa sababu ya mvua na mizigo ndo maana tukachukua boda.
Nikampashia maji akaoga kuhusu kula akaomba chai tu nikampashia akanywa muda wa kulala nikamwambia utalala kitandani mimi nitalala kwenye sofa, kweli akalala kitandani but mm usingizi ukawa haupo kabisa nawaza nimege au niache ile mindset ya ngoma ndo ikawa inazunguka kichwani mwangu na hofu ilizidi kwa sababu binti alikua na viupele kidogo tu hivyo nikawa najudge vile viupele si inaweza kuwa ngoma hii, mwisho wa siku nikalala kukakucha mpaka mida ya saa nne binti anaondoka nikiwa sijafanya chochote na nafasi ile kamwe haitajirudia na ninaijutia ile nafasi ya kukusa mbususu kizembe mpaka sasa.
Tuambie wewe ulikosaje mbususu kizembe.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ila huyu kaka wa kushibana ndo alikuwa mzembe bhanaImenitokea mara 2 mbona nalala na mwanamme bila kunyanduana, mara ya kwanza tulikuwa safarini tukafika Nzega usiku bus linaenda Tabora na sisi tunaenda Mwanza hamna bus la kutufaulisha, hivyo tukachukua chumba kimoja, nilikuwa bado bikra nikamkatalia tukalala hadi asubuhi,mara ya mwisho ni hivi juzi tu huyu tunaitana kaka wa kushibana tumeenda Dom kwenye Graduation pale UDOM, Ila nahisi hakulala maana kulala mzungu wa4 so utani, mie mwenyewe nilihisi nyege zinatekenya[emoji1751]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app