IT Guru JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 635 Reaction score 113 Mar 12, 2011 #1 Kuna mashine ya kukamata wezi ilitengenezwa. Ikapelekwa marekan ikakamata wezi 444. Ikapelekwa india ikakamata wezi 250. Ikapelekwa kenya ikakamata wezi 50. Ikaletwa tanzania. Unajua kilichotokea ni nn? Had mashine yenyewe ikaibiwa
Kuna mashine ya kukamata wezi ilitengenezwa. Ikapelekwa marekan ikakamata wezi 444. Ikapelekwa india ikakamata wezi 250. Ikapelekwa kenya ikakamata wezi 50. Ikaletwa tanzania. Unajua kilichotokea ni nn? Had mashine yenyewe ikaibiwa
Nothing4good Senior Member Joined Feb 19, 2011 Posts 180 Reaction score 55 Mar 12, 2011 #2 Haha haha kweli tz kunawakwibi
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,970 Reaction score 13,427 Mar 12, 2011 #3 hahahahaha hii ndio Tz bwana wa2 wanakaba mpaka penalt