Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kabiiiiiiiiiisa sasa tukichanganya mara huku mara kule vagi likitokea selfika zote zitafungwa tukose chimbo ukimbizi sio poaa kabesaaa sis ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Aiseh
 
Ila usikubali hao waliokucheka wakakuumiza. Kikubwa huyo ni wewe na unajiamini na kujipenda ndio maana uliweza kujipost. Ukute waliokucheka hata mshipa wa kupost zao hawana .
Mimi kuumia?
Ningeumia nisingetaka hata kuzungumzia hizo picha,
Mimi ni mzuri! kwa wanaonijua humu wakisoma wanacheka moyoni mwao ukweli wanaujua

Asante kwa kujaliโ˜บ๏ธ
 
Ila usikubali hao waliokucheka wakakuumiza. Kikubwa huyo ni wewe na unajiamini na kujipenda ndio maana uliweza kujipost. Ukute waliokucheka hata mshipa wa kupost zao hawana .
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!

Siku zote ukweli ndio huuma kama kitu ni blah blah tu aaaaahhhhhhhh
Unajichekeaaa tu tena kwa dhaaaaaarrraaaaaaauuuuuuuuuuuuuuu!๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ