Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 43,971
No mi siwezi eka🤣Subiri hapo nipite "naked" kama mnavyoita ili nikushawishi usiweke pia.
AiseeLeo ndo hivi,mwendo wa mishemishe🤣 Antonnia binti kiziwi na wengineo😅😅😅 Omulasil
Kuelekea tar25 siku yangu ya kuzaliwa.....
Kam kawaida yakoo Nougaaa sanaa mama pastaaa! Mtoto mashallah unabebeka !Leo ndo hivi,mwendo wa mishemishe🤣 Antonnia binti kiziwi na wengineo😅😅😅 Omulasil
Kuelekea tar25 siku yangu ya kuzaliwa.....
Jmn unavyonisifia ss🤣Kam kawaida yakoo Nougaaa sanaa mama pastaaa! Mtoto mashallah unabebeka !
Maokoto maokoto,safi Zulu manUsiseme humfahamu Zulu man View attachment 2849516
Maokoto maokoto,safi Zulu man
🤣🤣🤣🤣Sawa Zulu manHifadhi hiyo picture vizuri kabisa when you spot me Tina...don't front like hunifahamu😅,nitakuganda kama ruba.
Njoo nikuhamishie kwa Bluetooth 😁Ondoa ua uniuzie mimi Dr
Kwani ametupia kitu? Dah amenitenga 😀😀Mama mchubgaji hivyo vi emoj vinaharibu ngozi yako vitoe
Mhhh ngoja ninyamaze😂😷Usiseme humfahamu Zulu man View attachment 2849516
Sasa mtoto kama huyu anaanzaje kuwa na UTI? Mali safii kabisa[emoji91]