Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,587
- 235,439
Nivutie tu mwenyewe NkamuNgoja nimuite Mideko akuvutie hapa zangu ziko mwanzo wa uzi huko
Niko Simiyu nalima Pamba na Mahindi nkamu, Mbeya siwezi kupita bila kukushitua japo tukanywe kahawa, nikija utapata taarifa tuNivutie tu mwenyewe Nkamu
Mideko atadeka sana,kumbembeleza hatutaweza.
Au kama vipi pita tu tukuone Nkamu,kwani haujasafiri kuja Mbeya
Nipe basi kibarua Cha kulima NkamuNiko Simiyu nalima Pamba na Mahindi nkamu, Mbeya siwezi kupita bila kukushitua japo tukanywe kahawa, nikija utapata taarifa tu
Utaweza kulima na Ng'ombe nkamu?Nipe basi kibarua Cha kulima Nkamu
Hadi na trekta naweza 😂Utaweza kulima na Ng'ombe nkamu?
Weka ka selfie nione kama unaweza kweli...Hadi na trekta naweza 😂
Mi baunsa mwee
Nkamu kwani umesahau kama nimezaliwa shambani 😂Weka ka selfie nione kama unaweza kweli...
Uje pekee yako huyo mwingine achana nae CAUSE kuna stoli mhimu nataka nikuhadisie ukiwa pekee yakoOyooo nakuja wa ubani Lamomy unaona nmeitwa na king wetu twende tukabarikiwe
Kingekuwa positive ungetuonesha cousin 🤣#Jali afya yako
Enjoy your weekend guys!
Kuna lita tano ya mawese njoo uchukue afu unitaftie Mtoto wa shangaz COCANmekuja kipenzi enhee nipe story basi wa ubani
Hongera boss lady na asante kwa kutukumbusha kujali afya#Jali afya yako
Enjoy your weekend guys!
Ungana nao mkuje afu mmupitie mtoto wa shangazcocastic njoo huku
Cuzo wako anaenda bariki watu ghetto
😭Mbona unalia Suchack ?😕
Kweli Kabisa mr vocha hapo kwa mazoezi nilivo mzito sasa😁!Hongera boss lady na asante kwa kutukumbusha kujali afya
Usisahau kufanya mazoezi kuweka mwili sawa
Piga kazi seaman.