Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,072
- 54,284
Hebu weka tenaHapana ni kitenge kile afu ndani kulikua na nguo mbona!
Aaah binti kiziwi umekuja kukiwasha tena ππ₯π₯π₯π₯
Embu tuone πHapana ni kitenge kile afu ndani kulikua na nguo mbona!
Asantreeeeee!!
Shogare afu we umefutaaaaa! π₯°π₯°Asantreeeeee!!
Kitruu furuuuuuπ!
Nougaaa sanaa mremboo unalika hadi mifupaaaaππ
Nawee kiwasheπAaah binti kiziwi umekuja kukiwasha tena ππ₯π₯π₯π₯
Unajua mimi sijawahi ona hata mkono wako humu vibaya hivyo bwana! ππAaah binti kiziwi umekuja kukiwasha tena ππ₯π₯π₯π₯
πππ yule jamaa akigoma naruka na wewe ππππ
Leo sijatupia dearrr! Umejua kututretremesha auweeeeehhh!Shogare afu we umefutaaaaa! π₯°π₯°
Tunakupenda ivo ivo π
Hahahahaaaaa am humbled u know πUnajua mimi sijawahi ona hata mkono wako humu vibaya hivyo bwana! ππ
raraa re Mjanja huyo hata hajawahi kutupia humuUnajua mimi sijawahi ona hata mkono wako humu vibaya hivyo bwana! ππ
Na ulivyo maini natafuna hadi basiπππ yule jamaa akigoma naruka na wewe π
Jiongeze sasa mrembo ataka umbles naweee unakwama ujue! Do faster sasa!Hahahahaaaaa am humbled u know π
Jiongeze sasa mrembo ataka umbles naweee unakwama ujue! Do faster sasa!Hahahahaaaaa am humbled u know π
Basi mi nimekuta zimefutwa zote , sijaingia kwa uzi siku 3 sijui.Leo sijatupia dearrr! Umejua kututretremesha auweeeeehhh!
Santo sana
Kila kitu mezani au sio!??? π ni wewe tu na kisu πNa ulivyo maini natafuna hadi basi
Weee hebu nitafutieni namie wa kuruka nae kwani π€ !πππ yule jamaa akigoma naruka na wewe π
Kichinjio kipo tayari na hapa ushakinoaKila kitu mezani au sio!??? π ni wewe tu na kisu π
Chagua shauri ako shangaa utakuta tumegawana wenzio πWeee hebu nitafutieni namie wa kuruka nae kwani π€ !