Wewe unanijaza upepo πππUwiiiiii!! πππ₯°π₯°π₯°π₯°
Nyie kaka Zulu ndiomana hasikii wala haambiwi!! Wifi uko motoo
Hivi wewe mtz nwenzetu kweli?!!
Huyu niachie mimi ntamfundisha adabuKanizuia nisiangalie halafu akatoa location. Mwambie naruka fensi na fuko la franga. Zikatumike kwa hasira
Wifi kweli! Akya Mungu πππWewe unanijaza upepo πππ
UwiiiManeno machache picha kwawingi wapendwa!
Kibosho luxury kisekeWapi?
Hiyo Mitaa mbali kwangu sana sipajuiKibosho luxury kiseke
π€£π€£π€£ Mbona msala huoKuna kaka angu kamzimia nyie π«£π«£π«£ anipe namba basi
Lala kaka tuna kikao na shem. Sikukuu anaenda kumuona anty yake mombasa mara moja. Kuwa mpoleNimeshtuka kwenye usingizi mzito,
Tabia gani hii unamnadi wifi yako?
ππππLala kaka tuna kikao na shem. Sikukuu anaenda kumuona anty yake mombasa mara moja. Kuwa mpole
Kungwi mwenyewe.[emoji16][emoji16][emoji16]. NimeishaHuyu niachie mimi ntamfundisha adabu
Ilo fuko la faranga leta niwatunzie [emoji12]
We Kantry utamuweza?! π€£π€£π€£Ni kweli basi unigaie Country tu exchange kwa muda yakikushinda unanirudishia
πππ eee ndiwooooKungwi mwenyewe.[emoji16][emoji16][emoji16]. Nimeisha
π€£π€£π€£π€£Hiyo haiwezekani kabisaπ
Dem habari za uzima wako, nashida wewe bestWamenifungia nisitumie pm[emoji24]
Dada haelewi kaka ake kapenda πππNaona anapambaniaπ€£π€£π€£.
Dada anae
Halafu kwanini anamuonyesha picha za warembo wa Jf kaka yakeπ€£π€£π€£π€£Dada haelewi kaka ake kapenda πππ
π€£π€£π€£Hakika akatae yeye tu kutumia