Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,085
π€£πππHapa lazima tupate boot nyingi!!
ππππ mama mchungaji hii umeua
Uno unalo?sio la kwenye picha..la kuwanguzungushia waalikwaMimi nataka kamati ya burudani π€£π€£π€£
Una utundu kwa mbaliiiiCamera hazitaki zinaogopa tulivyo tunatisha wengine hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuwaachie warembo watubless
Haya mama mchungaji mamΓ‘ wa kupita naked nasubiri nijionee uumbaji wa Mungu
Sio mwakajana ila pia sio this weekπ€£Picha ya mwaka jana iyo mkuu π
Kadi unayoooo kabessa kweli saivi umeongezeka!!
Nimechekaππππ Tusipopata zile boot tutakuwa tumerogwa sio bure
Haiwezekan weWeee sema kweli? π€£π€£π€£
Si utaota
ππππππ!Mbona umefuta sasa nilikuwa nazoom mjeda
Hehehehehe naijuaa hiyoooo hiyooHawa mashemeji mnaowaeka muwe mnatoa na namba zao tuwapongeze kwa kumiliki pisi kali π
Aah wapi hapa ndo napenda nikiwa hiviOngeza ikikataa tutakufikisha hata hospital yenu mpya wakufanyie .....
[emoji1702] kama nakuona[emoji23]Msma weeee
Watu wenye Hela Huwa hawaongei sn
Nimefika[emoji125]
Tayana mdau wa tatu huyo kajitokeza πππ Tayana-wog leo tushindwe sie kukusanya maokotoTayana-wog, nipo MCity hapa, unaingia au ndio umetoka?!!
Sio ya Leo bwanaTayana-wog, nipo MCity hapa, unaingia au ndio umetoka?!!
Haina shida ila huko nyuma zisipungue hata robo.Aah wapi hapa ndo napenda nikiwa hivi
Medium sizeππ€
Wadau wanamiminika mpk sio powa!!Nimecheka
Au basi achukue kwa lipa nambaAtachukua mwenyewe Usijali tajiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli inabidi tuwe na kikao Cha familia tujue tunapataje haya maokotoTayana mdau wa tatu huyo kajitokeza πππ Tayana-wog leo tushindwe sie kukusanya maokoto
Weka bhana πππHehehehehe naijuaa hiyoooo hiyoo
π€£π€£π€£[emoji1702] kama nakuona[emoji23]
ShooooKadi unayoooo kabessa kweli saivi umeongezeka!!
Haya ndo mambo sasa haya tupieni tupieniii