Umetumia Smart kitochi?

Umetumia Smart kitochi?

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,411
Nina wazo la kununua vodacom smart kitochi wakati nkijipanga kupata smartphone nyingne, kwa mliotumia vip ubora wake? Au simu gani ya batan naweza kununua isiyozidi 45 elfu?
Asante.
 
Nina wazo la kununua vodacom smart kitochi wakati nkijipanga kupata smartphone nyingne, kwa mliotumia vip ubora wake? Au simu gani ya batan naweza kununua isiyozidi 45 elfu?
Asante.
Vinaganda sana.achana navyo mkuu
 
nnacho T-Smart , natumia kama 4G modem safi kabisa, mwaka kama wa pili huu

kilizingua betri, nika busti na kobe now kinapiga kazi
 
Nina wazo la kununua vodacom smart kitochi wakati nkijipanga kupata smartphone nyingne, kwa mliotumia vip ubora wake? Au simu gani ya batan naweza kununua isiyozidi 45 elfu?
Asante.
Zina vioo delicate kupita maelezo na kwa excessive uses betri inavimba. ni nzuri kwa matumizi kama modem
 
Viko poa xna kwenye internet maana ni 4g kweli ..ila usitegemee kukitumia mda mrefu xnaa...cm ya 45 elfu yenye 4g alaf utake kua sawa na aliyenunua smart ya laki mbili ebu kueni serious ukiona mtu anaziponda bhc akil zake hamnazo
 
Back
Top Bottom