Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,308
- 27,093
- Thread starter
- #21
Hakikani kweli kutoa ni moyo
Hakikani kweli kutoa ni moyo
Ni fedheha kubwa mno na matokeo yake tutayaona muda sio mrefuMkuu siku zote "ANAYEMLIPA MPIGA KINANDA, HUYO NDIO ANACHAGUA MZIKI GANI UPIGWE"
Hivyo usimchukie mchezaji, bali uchukie mchezo wenyewe.
Be a Man.