Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako

Mkuu shoohenry
Nina gari aina ya Toyota Grand Mark 11 injini ya 1JZ, D4 vvti inatoa mlio kama inagonga ndani ya injini. Hasa ukikanyaga mafuta kwa nguvu. Katika dashboard hakuna taa yoyote ya tahadhari inayowaka. Una idea na tatizo laweza kuwa ni nini?
Nawasilisha
Mkuu kugonga kwa gari kunakuwa na visababishi vingi vizur nikaja ulipo au ukaja ifisini ili tujue tatzo linalo sababisha karibu mkuu
+255758277823

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Shoo diesel service; ndio suruisho lako kwa matatizo yote ya gari yako, ikiwa gari yako inaishiwa NGUVU, inatoa MOSHI, mwngi - inatoa SOUND isio eleweka (miss),inakunywa MAFUTA mengi, LEAKAGE za mara kwa mara, gari KUCHELEWA KUWAKA, na matatzo yote yanayo jiludia kwenye gari yako KARIBU ,;-
Wasiliana nasi No.+2557582
f611f5390a72857df8c69f778e1134bb.jpg
77823
 
Gari inashindwa kuingage gear namba tatu wanasema ni fork au cincron vip hili linatibikaje gari ni manual tax toyota
 
Ndiyo, ya kwangu ina miss, na mafundi kama watano wameshindwa, pamoja na kuniingiza hasara ya kununua nozzle lakini wapi, nimenunua plugs lakini wapi!!!
 
Bila kutoa maelezo ya kutosha ni magari ya aina gani na ni ufundi upi ulio nao huwezi kuelleweka.
Hapo tu inaonyesha wewe ni bora fundi na si fundi bora
 
Back
Top Bottom