Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
Ulikuwa kombi gani mkuu ?mimi pia nlikuwa pale form5 2010, unakumbuka ile siku mwaka 2011 tulienda kwenye graduation ya taboragals ,chini ya mr.kapala na mr.lupenza, tulicheza disco mpaka saa 5 usiku watu tulibambia sanaa
Na ticha wako Kamulali yule assistant academic alikua anajiita mboysia ili awamege mawoso aiseee...yaani full burudanin'gambo disko vumbi mpaka asubuhi, jumamosi royal club,frank man palace ,uhazili siku za graduation nakumbuka nilicheza disco mpaka asubuhi mulemule ndani ya disko kulikuwa na maticha
Mi nimesoma boys school ambayo ilikua inaogopeka moshi nzima kutokana na historia yake ya vurugu. Kwaio tulikua hatuna disco wala match za mpira kila shule tukiialika ilikua inaogopa kuja kwaio sisi ilikua ni misuli kwa kwenda mbele. Ila kituko msichana akipita maeneo ya skuli atapigiwa shangwe had anapoteza mwelekeo haijalishi umri wake ilimradi awe ana shepu nzuri ama sura nzuri.yani hiyo hata kama tukiwa parade mbele ya master au ticha yoyote shangwe lazima lipigwe. Afu tena tulipokua form 5. Vyoo vilikua vichache so full kupanga foleni hadi chooni. Kingine tulikua hatuendi parade ya asubui had walimu waje watufukuze mabwenini. Tuliwahi leta mgomo walipotaka watufanyie inspection nakumbuka tulimuweka master juani toka asubui had sa kumi na 1 jioni afu sisi tupo kivulini tukimpiga maswali ya hapa na pale. Mambo ya msosi yalikua poa 4 meals per day. Wali 4 times pa week. Tea na mikate 3 times pa week matunda nini kama kawa.tukimis wali wanatupikia jioni.kuoga ndo lilikua janga la kitaifa kwa pale skuli mtu kukaa wiki bila kuoga ilikua kawaida sana kuna rafiki tulivoripot form 5 alikaa siku 21 bla ya kuoga me nshawai kukaa siku 12 bila kuoga ratiba yangu ilikua ijumaa had ijumaa ila inachange nikinyuka(wet dream) lazima nioge na siku zingine hiyo ijumaa kuna kua na mvua na ukungu mbele hauoni na shower hazitoi maji so siogi hio ni kwa kipind cha winter na kwa wiki mara mbili hadi 3 kwa summer coz kulikua kuna baridi ya hatari sabuni ya kuogea 1 unaweza tumia miez miwili na isiishe watu tulikua tunasubiri shower zitoe maji ndo tuoge maji yalikua yanatoka kuanzia saa kumi jioni yanafungwa sa 4 ucku yanatoka tena saa 11 alfajir ad sa 4 asubuh mana zilikua zinatumia maji ya kisima yanayovutwa na pump za umeme kuna kipindi pump ilipga shoti shower zilikua hazitoi maji kwa miezi kama mi3 hivi watu hapo ndo tulivunja rekodi za kuto kuoga mana kulikua kuna maji ya idara ya maji ambayo yalikua yanatoka direct from mount kilimanjaro yani hayo yalikua hayaogeki mana niyabaridi 24/365 afu sasa inabidi uchukue ndoo uchote ukayaoge yani kuyanywa tu hadi meno hua yanakufa ganzi so kuoga hadi ujifikirie mara mbili mbili Maisha ya boarding bhana.... #team umbwe boys mti safi
Mkuu kumbe na wewe uliku muuza karanga kama mimi, nakumbuka kuna mwaka kuna dogo form one aliwahi kuwamwagia maharage pindi wanatoka disko aisee ilikua mtiti ikbidi masele aende kusuluhisha...hahah mpigamsuli umenikumbusha disko na mawarsaw, ila walikuwa wanakuja wachache .sisi ambao tulikuwa hatuna bond kule girls tulikuwa tunang'aza kwa kweli..
nakumbuka walialikwa na milambo kwenda disco, walikuja kubebwa na mabas ya nbs kam matatu hv ilituuma sana ile waboyzia...
n'gambo disko vumbi mpaka asubuhi, jumamosi royal club,frank man palace ,uhazili siku za graduation nakumbuka nilicheza disco mpaka asubuhi mulemule ndani ya disko kulikuwa na maticha
nilikuwa pcm pale mkuu..kama unakumbuka kulikuwa kuna dogo mmoja nahsi ndo alikuwa mdogo sana kwa intake yetu.bas ndo mimi..
mr.kapala nakumbuka alikuwa antangaza kabisa kubamba ni lazma kama muoso kaja pale bamba unavyoweza
pumbu erotion
Dogo mwenye umri mdogo nnavyojua alikuwaga katibu(1993) ,upo chuo gani mkuu na kozi gani? ,kama ulikuwa pcm naimani unamjua SUNGI huyu jamaa alikuwa ananichekeshaga sanaa Unakumbuka malumbano ya chief na GURA? chief akawa anasema anaonewa kwa sababu yeye ni PCM hajui siasa!! , yule babu yenu wa PHYSICS FORM5 unamkumbuka?
hahhh mkuu hap wote nawajua na huyo gura alikuwaga rafiki yangu...baada ya kuhama pale nilienda mzumbe na sas hiv nipo ud napiga civil engineering..
Nshakufahamu mkuu PCM ulienda mzumbe rafiki yako nae alienda mzumbe anaitwa frank (PCB), nakusomaa mkuu
pamoja sana mkuu ila now frank yupo quba anapiga zake MD.
pamoja sana mkuu ila now frank yupo quba anapiga zake MD.
hahahaa! Hyo nayo nliisahau kaka,ilinikuta bana ya ad mbupu zkwa nyekundu na kale ka ngoz lain kakabanduka kote..,duu 2metoka mbali aisee!