Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,754
Ha ha ha aisee wakati kaugonjwa kanaanza unakua ukijikuna unasikia utamu fulani , ngoja ukolee yaani kama kuna mtu kamwaga moto aiseee..ha ha hahahahaa! Hyo nayo nliisahau kaka,ilinikuta bana ya ad mbupu zkwa nyekundu na kale ka ngoz lain kakabanduka kote..,duu 2metoka mbali aisee!
Ni kama fungus fulani hivi huwa zinakaa kwenye korodani yaani zikikukamata mwanzoni ukijikuna unasikia raha kinoma, ila ngoja zikolee hata kutembea utashindwa yaani dah...Ndo ugonjwa gani huo ?
Ndo ugonjwa gani huo ?
male,anyway nimeshapata idea,ila nadhani mi niliponyoka kuupata.We kwani mvulana au msichana? Jibu kwanza
haya ngoja nianze,
Siku ya wali na nyama ilikuwa ni siku ya furaha sanaa, raha ni ile siku ya kwenda disco kwa marwasaw kama huna uniform nzuri lazma uazime ili ukienda disco usije ukakosa demu
Mie nakumbuka mambo manne
- Nilikua mzee wa kuwahi top layer hasa shule moja pale Tabora noma, yaani msosi ulikua unawekwa wese la hatari mchuzi mwekunduu, nilikua nina kopo moja la mafuta ya KIMBO nikitupia humo mchuzi ule wa jujuu juu nikiumaliza lazima koo liwashe
- Nakumbuka pia nilivyokua natoroka skuli usiku kwenda disko vumbi kitaa daily, yaani tukikutana mchana huwezi jua kama ni mimi aisee, ila napiga msuli ikifika saa 4 tu huyoo naenda kubambia vitoto vya uswazi bila kusahau kuangalia movie zetu zile za kikubwa enzi izo kiingilio SHILING MIA
- O'level nakumbuka nilikua mtu wa msuli sana nimefuga muembe huo hatari yaani kama msukule, second master alikua na kigugumizi yaani akija assemble ni kunizungumzia tu mimi na minywele yangu. Ila nilikua muoga wa mademu balaa, nilivyofika advance niaanza vimichezo vya hapa na pale si nikapata demu kitaa. Nilikua na jamaa yangu mmoja wa PBC(kwa sasa ni muheshimiwa mmoja mkubwa sana na daktari mzuri sana pale MUHIMBILI) alikua mgumu kinoma ila alikua mpenda mademu hajui kutongoza, siku moja tukaenda kwa mganga mitaa fulani nyuma ya shule uswazi kutafuta kizizi cha kuwanasa watoto, Tukapigwa changa la macho na madem hatukupata..Ikabidi tuanze kuzunguka kitaa usiku kununua wale wanaojipanga mitaani..aisee yaani maisha ya shule noma sana
- Nakumbuka pia siku ya kwanza kuingia disko la shule nilikua nimevaa suruali ya kitambaa(jeans style enzi hizo) bila nguo yoyote ndani, Ile kucheza cheza videmu vizuri vizuri vikawa vinazingua bana. Bahati nzuri kuna demu mmoja mbaya mbaya hafu mnenee watu walikua wanamkimbia alikua kaegemea nguzo, nikaon huyu huyu. Nilimbambia aisee kwa hasira zoote nikasahau huku ndani sina hata pichu, mambo si yakaharibika, bahati nzuri kumbe na yeye alikua na stimu zake tu siku nyingi akawa katulia kama hana habari yaani watu walio kuwa pembeni walikua wanacheka kinoma mie sina habari,Tokea siku hiyo hakuna disko nilokosa aiseee ha ha ha
Asee boarding school, I love the way I hate you....!!!
I've been there since nursery to advance, fetched lots of happy and sad moments....!!
The worst thing i remembers is been halted to attend school consecutively in 3 episodes from primary to advance....
*when i was in primary i was suspended for fighting a pal to unconsiousness..
*i was also suspended permanently at o-level but its a secret, i cant disclose the dead rat, it smells alot.....
*likewise in adv. i was also suspend not for attending school for a whole mid-term (3 monthes)
*jkt--hakuna suspension, but i definetly deserved to have one, yani nilikua dojaa kikosi kizima; when i was caught i can forgets thet hot soup...
But siwezi sahau wema wa boarding....
nimepata vyeti visafi ambavo i'm precisely proud of them
ha ha ha kumbe huu ugonjwa upo skul nying hata pale kwetu Tosa boys ulikuwepo sana tu ni hatariiiOgopa sana pumbu erosion.. Ndanda boyz hioo