Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,180
- 45,909
And Then What?Kama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
HAMISSA UKO SERIOUS?
Yule jamaa ana asili ya kisomali tumesoma nae Kenton high schoolKama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
Ilikuwa mwaka gani mkuu?Primary alkuwa bdo ingawa alkuwa mjanja mjanja shule kulkuwa na wajanja zaid yke si unajua shule ya mjini Meru primary school
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana natani mzee wa upako no sawa na babu yangu kabsaHAMISSA UKO SERIOUS?