Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 2,005
- Thread starter
-
- #101
SAUT ALUMN 2019 LLB Hons.
PGDLS Law School of Tanzania
LLM OUT International Law
Currently Phd SAUT Mineral & Petroleum Law chini ya Prof Costarica Mahalu na Dr George Mwaisondola
Master's (UDOM), PhD (Makerere)!
[emoji3][emoji3] Mkuu nitake radhi hata mimi basi. Hivi UDOM na evening class OUT bora wapi? Utaniila UDOM jina kubwa ila Wanafunz wake ni hovyo hakuna wanalojua
Hiki chuo mi hata waniambie napewa Full funded SCHOLARSHIP kwenye PhD yangu siwezi soma, hata watoto wangu siwezi waacha waende pale. Mtanisamehe most of guys wanaograduate pale ni vilaza sana makazini, vichwa vigumu mno kuelewa, nimefanya nao kazi sana ni weupe mno.ila UDOM jina kubwa ila Wanafunz wake ni hovyo hakuna wanalojua
Mkuu kupata full funded PhD scholarship unafikiri jambo la mchezo. Hata TEKU huwezi kupata kama unawaza ukilaza wa mtu unatokana na chuo alichosoma pekee. Kuna mtu amesoma chuo kisicho na jina lolote na huwezi mfikia kwa lolote! Vilaza na wenye uwezo wapo kutoka kila chuo, ongeza sample yako mkuu.Hiki chuo mi hata waniambie napewa Full funded SCHOLARSHIP kwenye PhD yangu siwezi soma, hata watoto wangu siwezi waacha waende pale. Mtanisamehe most of guys wanaograduate pale ni vilaza sana makazini, vichwa vigumu mno kuelewa, nimefanya nao kazi sana ni weupe mno.
Umemaliza LL.B SAUT 2019, Ukaingia Law School 2020- 2021, halafu ukaunga LLM, halafu ukaunga LL.D mbona hesabu haziji.SAUT ALUMN 2019 LLB Hons.
PGDLS Law School of Tanzania
LLM OUT International Law
Currently Phd SAUT Mineral & Petroleum Law chini ya Prof Costarica Mahalu na Dr George Mwaisondola
Sijasema hivyo mkuu, nimesema kwa maoni yangu mm.Mkuu kupata full funded PhD scholarship unafikiri jambo la mchezo. Hata TEKU huwezi kupata kama unawaza ukilaza wa mtu unatokana na chuo alichosoma pekee. Kuna mtu amesoma chuo kisicho na jina lolote na huwezi mfikia kwa lolote! Vilaza na wenye uwezo wapo kutoka kila chuo, ongeza sample yako mkuu.
Nasoma muhasTuambie Chuo ulichosoma huenda ukakutana na classmate wako ambaye ukutarajia kukutana naye.
Mkabadilishana number na kupeana michongo ya maisha...
Hiki chuo mi hata waniambie napewa Full funded SCHOLARSHIP kwenye PhD yangu siwezi soma, hata watoto wangu siwezi waacha waende pale. Mtanisamehe most of guys wanaograduate pale ni vilaza sana makazini, vichwa vigumu mno kuelewa, nimefanya nao kazi sana ni weupe mno.
Amazon college & co
Hotel Management
Mwenye mchongo wa hotel yoyote anitoe connection wakuu January ngumu hii!
NB
Seriously issue!
Umemaliza LL.B SAUT 2019, Ukaingia Law School 2020- 2021, halafu ukaunga LLM, halafu ukaunga LL.D mbona hesabu haziji.
Sie tulioishia la-tano C,
Tusitafutane au ndio ku-nini?kututengaa, bha![emoji24]
Teofili kisanji university
Nasoma muhas