Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 2,005
Nyie mnatafuta wake wa watu kwa mgongo wa classmate
Nyie mnatafuta wake wa watu kwa mgongo wa classmate
Mnataka I'd za watu humu?
Tanzania
Wewe umesoma wapi Kwanza?
Huenda Mimi ndiyo classmate wako.
Mliowatafuna wale mliosoma vidudu hamkutosheka mkaanzisha magroup ya WhatsApp kwa mliosoma nao primary na wengi ndoa zikawashinda. Sasa mnatafuta wa vyuo! Mshindwe na mlegee
Mimi ni me, hutafaidi. Watafute wake zetu au nikueleze mke wangu kuwa alisoma ashira Girls cc carihaAcha unoko taja chuo ulichosoma
Hakuna hicho chuo hapa Tanzania,UDS Alumni 2017
''Uenda" ndo nini mkuu?? Neno Sahihi ni "huwenda"Tuambie Chuo ulichosoma Uenda ukakutana na classmate wako ambaye ukutarajia kukutana nae
Mkabadilishana number na kupeana michongo ya maisha
Hii itakuwa njia moja ya kukutana na classmate wako
Je umesoma chuo gani? Na mwaka gan umemaliza ?
Swali la kijinga kweli kweli. Ili iweje? Vipi,umemaliza chuo ramani hazisomi unatafuta connection ili ujue aliyebahatika akupigie debe sehemu?Tuambie Chuo ulichosoma Uenda ukakutana na classmate wako ambaye ukutarajia kukutana nae
Mkabadilishana number na kupeana michongo ya maisha...