Mzigua_255 JF-Expert Member Joined Jun 25, 2026 Posts 796 Reaction score 1,557 Jun 28, 2026 #1 Umeshawahi kufanya jambo lolote ambalo hujatarajia kulifanya ili usidhalilike? Niliwahi kununulia wadada flan chakula nikawanunulia nikabaki sina hata hamsini kwa sababu ya masifa je?
Umeshawahi kufanya jambo lolote ambalo hujatarajia kulifanya ili usidhalilike? Niliwahi kununulia wadada flan chakula nikawanunulia nikabaki sina hata hamsini kwa sababu ya masifa je?
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 1,884 Reaction score 4,477 Jun 28, 2026 #2 Mzigua_255 said: Umeshawahi kufanya jambo lolote ambalo hujatarajia kulifanya ili usidhalilike? Niliwahi kununulia wadada flan chakula nikawanunulia nikabaki sina hata hamsini kwa sababu ya masifa je? Click to expand... Kawaida sana tushatuma nauli wauni kumtoa demu mkoani mwisho wa siku akazima simu ndo ikaisha ivyo
Mzigua_255 said: Umeshawahi kufanya jambo lolote ambalo hujatarajia kulifanya ili usidhalilike? Niliwahi kununulia wadada flan chakula nikawanunulia nikabaki sina hata hamsini kwa sababu ya masifa je? Click to expand... Kawaida sana tushatuma nauli wauni kumtoa demu mkoani mwisho wa siku akazima simu ndo ikaisha ivyo
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,798 Reaction score 53,695 Jun 29, 2026 #3 Sio mbaya sadaka hiyo
MFALME WETU JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 5,131 Reaction score 12,636 Jun 29, 2026 #4 Mwanaume unadhalilika vipi, kaza.!! mwambie dem SINA HELA kisha kausha
Mwafrikamtanzania JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,032 Reaction score 1,288 Jun 29, 2026 #5 Ungemalizia tu...."KULA TUNDA KIMASIHARA"?? Maana kama zinaendana!