Umeshawahi kuona au kusikia hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeshawahi kuona au kusikia hii?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ngwanakilala, Aug 18, 2011.

 1. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Hivi imeshawai kutokea msichana mmoja akatembea au kuzaa na mtu na kaka ake. Au x-wife wa mtu akaja kuzaa na mdogo wa aliyekuwa mume wake?

  AU  Imeshawai kutokea kaka mmoja akatembea au kuzaa na mtu na dada yake?. Au x-husband wa mtu akaja kuzaa na mdogo wa aliyekuwa mke wake? Mimi sijawahi kuona haya.
   
 2. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo kuna mtu amezaa kama ulivosema hapo juu? yaa inatokea sana ila huwa hatuikubali kimaadili kabisa
  kuna msichana alikuja kufanya kazi kwa sister za ndani akagundulika mjamzito kumuuliza ya nani kasema amekuja nayo anahisi
  kabla hajaondoka mdogo wa mama yake alimbaka
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Pole......
  Kama hujawahi sikia au ona ...
   
 4. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Duu yani kabakwa na mjomba ake? Thats crazy!
   
 5. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  asante. kaka wa2 kudate the same girl au wadada wa2 kudate the same guy bado sijaona
   
 6. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Nenda mkoa mmoja unaitwa Singida,fika Wilaya moja inaitwa Manyoni,mtafute mtu mmoja al-maarufu Mzungu-Ameoa mtu na mdogo wake na amewazalisha wote na anaishi nao wote hadi leo hii,huyo bwana ana wake watatu,kati yao wawili ni mtu na mdogo wake!!! Hilo la Mussa lipo la Firaun katika mji huohuo tafuta mtu mmoja mheshimiwa wa siku nyingi D1 yeye alishawazalisha ndugu watatu! Nenda ukashangaye!!
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sio mageni sana hutokea mtu anazaa na babake mzazi dunia ya leo seuze kaka na dada .
   
 8. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Duuh. Hii Kiboko!
   
 9. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Ni kweli lakini. duuh hii dunia imeharibika
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duhhh jamani wewe
  Mi sio kaka..
   
 11. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Sorry for misunderstanding. i said - wakaka wawili kudate the same girl?
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ooopss
  My bad..
  So sorry ..
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  That‘s not healthy...kwani wanaume/wanawake wameisha mpaka ndugu washee mmoja?!

  Eti Afro ....unaweza kuniruhusu nimchukue desh desh?!
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duhhh
  Usije ukamfanya akimbie bila viatu...
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahah...kisa?!
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ntakueleza ukirudi home lolz
   
 17. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mhh wanajuana?
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umeshaambiwa hao wawili wadada/wakaka wanakua ni ndugu!!

  Afro i wanna know now!!Inahusiana na thread...toa mfano hai!!
   
 19. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  mtu na kaka ake baba moja mama moja kudate the same girl at different times tho
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Acha mtu na kaka wawili na dada mmoja, katika historia ya Wa-misri au Wagiriki, au Waroma kuoana mtu na dada yake wa damu kabisa ilikuwa kawaida.

  Hamna cha ajabu duniani
   
Loading...