Umeshawahi kumpenda mtu kimyakimya ?

Miaka ileee shule ya msingi, nilikuwa penda penda sana halafu mpole...

Wale mabinti wakausoma mchezo wakawa wanaleta michoro nawachorea, maswali magumu nawafanyia.

Basi nikawa kibaraka chao na kufunguka siwezi, mara moja moja wakinionea huruma nimechapwa na mwalimu wanajitutumua "mshamba poleeee..."

Na walivyojua nimezubaa sana basi wakawa wananitongoza kinafki wakijua siwezi kujibu.

Nilikuwa kibonge nyota yangu haikung'aa sana.
 
Itakuwa tulisoma wote Kuna mkaka mmoja tulikua tunamuonea sana,unamkuta katulia zake tu unaanza kumtongoza huku unampapasa mgongoni basi anaona aibu mwenyeweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…