Dah..!Mwaka 2013, tarehe 8 mwezi wa pili ndio siku niliyomla mke wa kaka yangu kabisa. Sitakuja kuisahau.
Kaka yangu ni mtu wa safari sana, muda mwingi alikuwa hashindi nyumbani. Kipindi hicho nimemaliza chuo nipo natafuta kazi hivyo muda mwingi nilikuwa nashinda nyumbani mimi na shemeji tu. Kipindi hawana mtoto wala house girl
Shemeji alikuwa anapenda sana kuangalia movie, namimi ni mpenzi pia hivyo tulikuwa tunaangalia movie mpaka saa nane usiku.
Siku niliyomla, umeme ulikuwa umekatika mida ya saa nne usiku kwahyo nikawa naangalia zangu movie chumbani kwa Laptop yangu. Akasema kiutani shem acha uchoyo bana mbona unaangalia movie peke yako (mlango ulikuwa umerudishiwa tu, kwahyo sauti na mwanga), nikacheka nikamwambia karibu tuangalie.
Kweli shem akaja, movie naangalizia kitandani na muda chumbani hamna kiti wala meza. Tumeangalia weee, kufika saa sita tu hivi usingizi ukamchukua akalala hapo hapo. Namimi nikafunga laptop mana ilikuwa inaishia charge nikaenda toilet nikalala, japo shetani alikuwa ameshaanza kuniingia.
Usiku sikumbuki kilitokea nini tukajikuta tupo kwenye game mpaka asubuhi. Huo mchezo ulidumu kwa miezi mitatu ikabidi niombe kuondoka pale nirudi tu nyumbani, nilijua ipo siku nitafumwa na undugu utaisha.
Mpaka leo hatujawahi kurudia tena na tunaheshimiana sana, japo huwa najutia sana dhambi ile. Wewe ulishawahi kumla shemeji yako? Ilikuaje?
Mbaya zaidi ukute bro wake ndo alikuwa analipa ada halafu eti mwisho wa siku anaishia kutombewa mke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaah ,yaani we dogo Ni boya kichizi
Unamla shemeji yako alafu unakuja kuandika pumba zako hapa
[emoji706][emoji706]
Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
Kutokana na hizo descriptions zako,.....you are almost between her thighs.Hakuna kitu naogopa kama shemeji yangu.Mke wa ndugu yangu like brotjer au mdogo angu.Aisee naogopa sana.Siwez kaa niwaze kumla.Nawaheshimu sana.
Hata demu wa mchiz tu siwez.
Mke wa brother angu mkubwa ananikera sana.Nataman hata namba yake niifute maana anaweka status za ajab kinoma.Mara kabimua kalio..mara katia vimin
Dah huwa nasikitika sanaaa.
Ahahahahahahahahahahahah
Msile mashemeji zenu
Eti nini..?[emoji848][emoji848]Mkuu hiyo tabia haifai kabisa vizuri umejutia kosa na ikiwezekana mueleze kaka ako kishs umuombe msamaha ubaki na amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother,hiyo ni Hell to the No..siwez hata kuwa comfortable kumu imagine in those mannersKutokana na hizo descriptions zako,.....you are almost between her thighs.
Kaenda kuedit
Mwaka huu mtatuambia kila kitu.
Hawa madogo shule zimefungwa wanaropoka tu"Nikaenda toilet nikalala"kwa hiyo mkubwa hadi chooni mmeweka kitanda
Na hii ndo shida kibwa ya binadamu.... YAANI YEYE KUWA AMEFANYA JAMBO, HASA BAYA, NI MPAKA AWE AMEONEKA.... AKIFANYA SIRINI HUWA ANAKUWA HAJAFANYA
Some things are best kept secret...
Hivi inakuwaje watu mnakulana halafu mnabaki 'kuheshimiana sana'?
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa umezingua bana, na ukaona sifa uje utusimulie na uulizie kama kuna wengine washawahi kufanya hivyo pia, kwa taarifa yako hakuna mwingine humu alowahi kufanya hivo, ni wewe tu[emoji51]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujuzwa hapa,kula mke wa kaka yako jamaa kashambuliwa kinoma,je kula mdogo wa mke wako imekaaje hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app