Umeshawahi kumla shemeji yako?

Kumbe ulilala na mke wangu. Nisikuone hapa nyumbani na huyu mtoto wako uje umchukue haraka sana
 
Ndo unaposikia mzimu popobawa sijui ndo hawa wakishakufa wanaanza kusumbua watu
Hii mizimu myengine ni mizimue tu... Halafu ndo unatakiwa uje uiombe ukipata matatizo..πŸ˜‚
Hii sindo ile inayoagizaga kuku sijui mweupe na balimi pembeni tena inaongezea na kapilipili kwa mbali bila kusahau chumvi..
Sasa ukiacha kutekeleza utajuta na utaelewa mzimu ni nini..πŸ˜‚
 
Watu wanaojutia makosa yao wanaonaga hata aibu kuhadithia pasipo ulazima.
 
Mungu nisamee nilimkula shemeji yangu pamoja na mdogo wake
 
Na unaweza kuta mwanamke ndio alianza, subir na wakwako atatoa tu mzigo kwa mtu wako wakaribu hao kutoa mbwa wanaona ni kitu cha kawaida sana sema sisi wanaume tunachukulia serious sana.
 
Umerudia tena kuandika kipindi flani ulishawahi andika mada ya hivi !! nikwamba Umesahau ama unateseka na Dhambi ya Uzinzi inayokutafuna ndani yako? Nenda ukatubu ubaki na Amani ya moyo.
 
Eeeeh Mungu wa mbinguni uturehemu,

Watu hawa wamekiri kwa midomo yao na hawajutii dhambi zao za uzinzi. Wengine wameona ni haki zao kabisa za msingi kwa uzinifu waliofanya. Naomba msamaha kwa niaba yao, wasamehe 7x70. Ili wajue wanayofanya si sawa, wakurudie wewe.

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…