ki ukwel naamin si mahusiano yakiisha yameisha!! na isitoshe ndo maana ya msamaha! kama mtu kagundua kwamba unamfaa, achalia mbali sababu zilizomuondoa why not? kama ulimfuma sawa, lakn bado unaweza onesha nguvu ya msamaha, isitoshe karud mwenyewe tena kwa kumaanisha na step za mbele zaid!! no nampokea!!
akionesha na mchozi ndo kabisa kanimaiza!! ambavo sipend kuona mtu mzima analia!!!