Nilipoanza chuo nilihangaika sana kutafuta nyumba ya hivyo, nikaipata na mpaka namaliza chuo sijawahi kumuona mwenye nyumba wala kuongea naye. Ni kutoa hela kwa msimamizi wake mambo mengine mtajua wenyeweSitajibu swali lako ila ushauri kwa wasomaji :unapotafuta nyumba/chumba cha kupanga hakikisha mwenye nyumba anaishi mbali sana na nyumba yake ikiwezekana nje ya mkoa pia awe na kazi yake ya kumuingizia kipato sio kutegemea pesa ya vyumba ndoitatue shida zake.Hapo utakataa mpaka utakapokuja kujenga au kuhama mji
Ipo hivyo.Nilipoanza chuo nilihangaika sana kutafuta nyumba ya hivyo, nikaipata na mpaka namaliza chuo sijawahi kumuona mwenye nyumba wala kuongea naye. Ni kutoa hela kwa msimamizi wake mambo mengine mtajua wenyewe
@Mpwayungu Village leo umeongea kwakifupi ila kwakina sana, wewe ni Great thinkerSitajibu swali lako ila ushauri kwa wasomaji :unapotafuta nyumba/chumba cha kupanga hakikisha mwenye nyumba anaishi mbali sana na nyumba yake ikiwezekana nje ya mkoa pia awe na kazi yake ya kumuingizia kipato sio kutegemea pesa ya vyumba ndoitatue shida zake.Hapo utakataa mpaka utakapokuja kujenga au kuhama mji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kupanga nyumba moja muda kidogo maeneo ya Buguruni karibu na spenko. Ile nyumba kwanza ilikuwa na vyumba zaidi ya 30 [emoji1787]alafu vidogo kama stoo, mwenye nyumba hana time na mtu we rudi muda wowote unaotaka utakuta mlango wazi haufungwi, mwenyewe anakwambia me nipe tu kodi yangu nikalewe ila ulinzi wa chumba chako utajua mwenyewe
Ilikuwa na watu kinoma! Waha walikuwa kibao wamejaa chumba kimoja. Ile nyumba ilikuwa imepigwa machata "Meli ya wagiriki" kila kona. Nikasema hapa sio pa kuishi inabidi nisepe tu, nikachil miezi 6 nikasepa
Kweli kabisa nyumba za kupanga kero ikiwa mwenye nyumba anategemea kodi kuendesha maisha yakeSitajibu swali lako ila ushauri kwa wasomaji :unapotafuta nyumba/chumba cha kupanga hakikisha mwenye nyumba anaishi mbali sana na nyumba yake ikiwezekana nje ya mkoa pia awe na kazi yake ya kumuingizia kipato sio kutegemea pesa ya vyumba ndoitatue shida zake.Hapo utakataa mpaka utakapokuja kujenga au kuhama mji
Tatu ila nahama tena soonKweli kabisa nyumba za kupanga kero ikiwa mwenye nyumba anategemea kodi kuendesha maisha yake
Sure. Ndio nakaa nyumba ya ivyo. Yaani hakuna shida kabisa jamaa nilimuona juzi juzi tu alikuja kwaajili ya ukarabati. Ndani ya miaka miwili ndio nimemuona mwezi uliopita.Sitajibu swali lako ila ushauri kwa wasomaji :unapotafuta nyumba/chumba cha kupanga hakikisha mwenye nyumba anaishi mbali sana na nyumba yake ikiwezekana nje ya mkoa pia awe na kazi yake ya kumuingizia kipato sio kutegemea pesa ya vyumba ndoitatue shida zake.Hapo utakataa mpaka utakapokuja kujenga au kuhama mji
Hapo usihame, ni nadra sana kupata makazi hayoNimepanga nyumba 2.
1, hii nilipanga wakati ndo naanza chuo, hapa mwenye nyumba alikuwa mkoa huu ila wilaya nyingne, tulikua wapangaji 5, palikua vizuri tyuuh, shida ni mke wa mpangaji m1 ni mama wa nyumbani, duuh yule mdada sijui wa wapi, yaan alikua kero tupu kwangu, afu alikua km ana gubu fulan kwangu, na alikua mswahili pia, nkawa navumilia, ila baada ya kunusurika kuporwa na vibaka, sikulaza damu nkahama, wakat huo bado kodi ya miez 4, nkaaongea na mwenye nyumba akanambia kwa kuwa mie ndo nakatisha mkataba sikupaswa kupewa chochote, ila kwa yeye ustaarabu wake atanipa kodi ya miezi 2, kweli akanipa nikasepaaa, yeye akabakiwa na kodi ya miezi 2 pia, tuligawana pasu pasu.
2, hii ndo naishi hadi sasa, tupo wapangaji wa 4, mwenye nyumba yuko mkoa, hatujawahi kumuona wala hatumjui, mambo ya kodi tunamalizana kwa miamala ya cm, km ikitokea shida ana toa maelekezo tyuuh, hapa napapenda wote wana kazi zao tena nzuri, ila Jobless ndo mie pekee angu, hakuna kitu cha kushare, na kila mtu yuko buzzy na life lake, yaan inaweza pita hata week hujaonana na jirani, tatizo likitokeaa km linahusu kwa wote tunajulishana kwa cm, hapa bado nipo sanaa.
.......
Ipo hivyoKweli kabisa nyumba za kupanga kero ikiwa mwenye nyumba anategemea kodi kuendesha maisha yake