Nimeactivate ya kwangu kwa android, kuna mahali pa kuchagua muda ambao mtu wako mrithi atapewa access ya akaunti yako. Mfano akaunti yako isipokuwa active kwa miezi 3 (naona ndio wameweka minimum) basi mrithi anataarifiwa na kuanza kutumia account yako, ambayo kimsingi ndio simu yako.
Pia kuna option ya kupanga nini unataka ndio akiaccess - unaweza mpa vitu kadhaa tu katika simu au kumpa access ya simu nzima.
Ahsante sana
Teknolojia ni Yetu sote kwa somo ulilonipa.