Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,955
- 8,667
Ila kibongo bongo kuongelea kifo ni uchuro.
Teknolojia ni Yetu sote
Teknolojia ni Yetu sote
Sawa mpwa [emoji3577]Asante sana ndugu kwa somo zuri , kuna ujumbe wako PM
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]inaonekana kama vile unamchulia mtu [emoji3577][emoji16]Ila kibongo bongo kuongelea kifo ni uchuro.
Teknolojia ni Yetu sote
Hapana kwa kweli[emoji1][emoji1]hutaki warithi waweze kurithi taarifa zako
Hakika Teknolojia ni Yetu sote , [emoji3577]Nimeactivate ya kwangu kwa android, kuna mahali pa kuchagua muda ambao mtu wako mrithi atapewa access ya akaunti yako. Mfano akaunti yako isipokuwa active kwa miezi 3 (naona ndio wameweka minimum) basi mrithi anataarifiwa na kuanza kutumia account yako, ambayo kimsingi ndio simu yako.
Pia kuna option ya kupanga nini unataka ndio akiaccess - unaweza mpa vitu kadhaa tu katika simu au kumpa access ya simu nzima.
Ahsante sana Teknolojia ni Yetu sote kwa somo ulilonipa.