Umesha jaribu hili

Umesha jaribu hili

CNO

Member
Joined
May 28, 2025
Posts
46
Reaction score
62
achaumbea!.jpg
na ulijihisije kama una Phd au.

Na unaichukuliaje.

Na watu wote wakiwaza hivi itakuwaje.

Je, kikundi cha watu kinawangenezea watu wengine namna ya kufikiri tokea wakiwa wadogo(mfumo) ili baadhi wa watu (mataifa) wawe salama

Au ujanja unafikiri ni kumiliki dola elf7 kwa mwezi na gari unaona mambo yako sawa tu.

Karibu.
 
Back
Top Bottom