Umepoteza thamani ya utu wako

Maneno hayo wengi hatujasalimika.....nitarudi
 
unalilia kuoa wakati hata nguvu za kiume huna huyo mwanamke ukioa utatumia umeme?
 
Bujibuji leo umewaza nini? Umepiga kila kona ila namba 11, imenikosha zaidi
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji leo umewaza nini? Umepiga kila kona ila namba 11, imenikosha zaidi

Hayo ndio mambo yanayomwacha msomaji katika tafakuri chanya na sio ule UTOKO wako wa kuzimu unaotusumbua nao kila siku jukwaani. Maggot
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…