Umependea nini aina ya simu unayotumia?

Infinix hot 3 czimi data ila chaji ni jana na Leo. Hapa kwa infinix nimefika ni Nzuri kwa kila kitu.
 
iphone 6 plus,inanikosha kwenye security TCRA hawawezi kunidukua kizembe,charge hadi nasahau,durability,speed,voice quality,facetime,super camera,...n.k yani hauwezi kunishawishi kuwa kuna simu nzuri zaidi ya iphone.
Naomba kujua kwa kifupi sana iv Security yake ni Unique kiasi gani hizo S6 plus
 
Mi simu za kupapasa zishanishinda kabisa,hivi hakuna smartphone yenye keyboard hapa duniani jamani?
 
Natumia Samsung Galaxy Ace 4 Neo (Duos) Naipenda vitu vingi sana ila kikubwa ni umbo lake na uzito. Ninaweza kuwa nayo sehemu yoyote ile ktk shughuli zangu. Sina haja ya kuishikilia mkononi...inakaa kwa pocket tu. Halafu na usikivu wake nikiwa nawasiliana..ni mzuri mno. Pia network inakamatika vizuri sana...sina haja ya force WCDMA.
 
Me natumia nokia jeneza..raha yake nkishika mkononi cna haja ya kwenda gym,buku buku za mb naziokoa kirahisi na kubwa zaidi chaji yake yakipekee na ykizamni ko sihazimishi ovyoo
 
Mi simu za kupapasa zishanishinda kabisa,hivi hakuna smartphone yenye keyboard hapa duniani jamani?
Yah zipo,mfano BlackBerry wana aina zina touch na button kwa kiasi kikubwa, majina ndo sijui
 
Infinix hot 3 czimi data ila chaji ni jana na Leo. Hapa kwa infinix nimefika ni Nzuri kwa kila kitu.
Hizi simu za infinix ni nzuri Sana, ila watanzania hawajazijua mimi ninatumia mwaka sasa infinix hot note x551, charge safi, Internet safi hata bei zake hawapigi kama wa wa kule Korea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi simu za infinix ni nzuri Sana, ila watanzania hawajazijua mimi ninatumia mwaka sasa infinix hot note x551, charge safi, Internet safi hata bei zake hawapigi kama wa wa kule Korea.
Lkn hazipo Gsm Arena
 
Mm natumia htc one M7 naipendea wepesi wake,wembamba pamoja na internal storage yake ni kubwa sana bila kusahau uwezo wa kutunza chaji
 
Wanaondoa kweli wazungu hawanaga longolongo,kama vipi labda ununue blackberry private ndo wameitoa kama mbadala wa bb zote zitakazotolewa whatsapp
 
Natumia s6 edge ni slm, kidogo kuhandle na chepesi mfukoni. Pia nikiingia geto kwangu ni rahisi kuunga na vifaa navyotumia kama Tv, home theatre na hata kingamuzi coz karbia vyote ni Samsung na ninaweza kuvicontrol kwa simu tu.
Pole kwa kununu bomu tafuta na fire extinguisher
 
Ww hujatumia samsung flagship kama s7 ndo utajua utamu wa simu
Kwanza iphone mi huwa naiona kama kopo. Simu gani inakuwa advertised from da back utazani mwanamke bhna. Mbele haitofautiani na zile za techno au huawei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…