"Umepata wapi namba yangu?" Inaboa kwakweli

Akawaambia nini Vodacom??😂😂😂
aliwaambiwa "mbona mimi sipati bundle la bure kama wenzangu.. wenyewe tangu usiku wamepata gb nyingi ila mimi sijapata" akawatajia na namna ya kujiunga nakumbuka ilikua unaenda kwenye menyu yao ya vifurushi vya pinduapindua hata kama hauna salio unajiunga unapata hicho kifurushi... uyo jamaa mmoja alisababisha mamia ya waliopeana ujanja huo siku hiyo wanyang'wanywe vifurushi vyao huyo huyoo pia akasababisha kufukuzwa kazi msimamizi wa zamu ya huduma ya vifurushi vodacom.. kwa kweli wanakera sana watu hawa mbinu nyingine tunabidi tufe nazo kimyakimya tu..

Ni kama pia ile offer ya bure vodacom wanakupa gb 10 kila mwezi kwa miezi 6 mpuuzi mmoja akawapa mchongo voda kisa yeye alikataliwa kuungiwa bure.. yaani mtu wa namna hii anaweza kukuchomaa kabisa kuwa ulimpa namba
 
Kwakweli
Watasikia🚶🚶🚶🚶
 
Aisee
Kaka WA magomeni usalama
Asante Kwa mrejesho😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂 Uuuwi hao wanaitwaga Black Monday😂😂😂
 
Kwa PIN CODE HIZO mkuu hata wewe ningekung' oa....kkkkkkk

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wewe ungekuwepo Enzi za ujana wangu serikali ingekupeleka YMCA ukapate professional help 😂😂😂😂 maana njia zako zooote unasimulia mimi nishazifanya na zaidi ya hizo🚶🚶🚶
Naona unatapatapa Tu hapa😂😂
 
Hata KUKU siku mwenzie akichukuliwa na KICHECHE anaona mwenzie hakuwa makini...LAKINI siku yake ikifika hana ujanja...hivyo mkuu Nina njia 1000 za uongo..HIZO ni chache tu...sisiweki hapa,,,,,zote ni PIN CODE..wewe nimekueleza hizo,,, ila hata wewe ungeng'oka tena kweupeee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake Kwa siku tunaongeza maneno zaidi ya elfu 1 ina maana tunawaza na tunakuwa na mbinu zaidi ya elfu 1 Kwa siku
Kwangu usisogee kabisa utaumia🚶🚶
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww liongo!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…