Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,750 Reaction score 37,409 Jul 1, 2021 #1 Picha zinaweza kuleta ujumbe hata kupata wazo.je picha hii imekupa ujumbe gani
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,228 Jul 1, 2021 #2 Skwiro alikuwa anatumika kama kiti, ila sasa amejivua hatumiki tena.
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,721 Jul 1, 2021 #3 Alikuwa anatishia nacho watu sasahivi kinamtisha mwenyewe!
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,796 Reaction score 48,055 Jul 1, 2021 #4 adden said: alikuwa anatishia nacho watu sasahivi kinamtisha mwenyewe! Click to expand... Kinyago huenda kiliwekwa kumtisha huyo mnyama, lakini yeye ameamua kucheza nacho
adden said: alikuwa anatishia nacho watu sasahivi kinamtisha mwenyewe! Click to expand... Kinyago huenda kiliwekwa kumtisha huyo mnyama, lakini yeye ameamua kucheza nacho