Eliah Geofrey Kamwela
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 185
- 511
- Thread starter
- #41
Safi sana mkuu
Safi sana mkuu
Unatak umprove wrong gudume?Nimepanga kukoment tu jukwaa la siasa na intaneshno folam tuonekane tuna akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akutangulie mkuu1.kufungua Biashara nyingine (Handset showroom)
2.Kununua Gari la Million 8
3.Kubariki Ndoa
4.KubatizaMtoto
5.kumalizia na Kuhamia kwangu
"Misambwanda" Ndio vitu gani mkuu?
s
"Misambwanda" Ndio vitu gani mkuu?
Mmmh.. Haya bwana, Mungu akusaidie
Kiongozi yupi?Nyie jipangieni tu kuna kiongozi anawachora tu mkifika katikati ya malengo yenu anawabadilishia nywila wote mnakuwa hamsomeki!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23]Miaka yote napanga mipango haitimii!!
Mwakani ntakua nazuga tuu
Siweki lengo hata 1
Hapo sijaona lengo hata moja, bali naona matokeo tu ya malengo. Mfano:1. Kubariki ndoa yangu
2. Kuboresha mahusiano yangu na Mungu
3. Kumalizia mjengo
4. Kupata kausafiri kidogo (gari)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh jihadhari na kucha zenuNipo mkuu, hebu ninong'oneze PM majina yako halisi