Mmesahau albino na wanawake vikongwe wanauwawa kwa imani za kishirikina Sukumaland? Tafiti zinaonyesha kuwa wanawake kwa kiasi kikubwa ndio wanaojihusisha na kuendeleza imani hizo. Wanawashurutisha mabwana zao waamini kuwa mama zao wazazi ni wachawi ili wauwawe na mabwana zao wawe warithi kamili wa mashamba, ng'ombe na mali nyingine zilizoachwa na baba zao...
Mmesahau kijiji kiitwacho 'Gambush' kiko Sukumaland?
Nyerere na Mwenge.Unaukumbuka ule mchezo wa shilingi?shilingi ina pande mbili......................
nakumbuka lol!!!Nyerere na Mwenge.Unaukumbuka ule mchezo wa shilingi?
Pamoja sana PJ
Hiyo ndio organic mkuu wewe unataka tule vya supermarket? vilivyopita na wakati wakabandua label na kuweka nyingine? Tunakula kilichotoka shambani muda huohuo.KInacho ni bore wasukuma ni their ugly accent, ukabila na mapishi hawajui, ni Ugali na mboga za porini tuu.
KInacho ni bore wasukuma ni their ugly accent?? ukabila na mapishi hawajui, ni Ugali na mboga za porini tuu.
Mim siijui mila hata moja ya kabila yetu na hata kuongea hiyo lugha sifahamu.Iam born town na nimekulia tauni.Mambo ya makabila siyamind Kwa hiyo kila kabila kwangu ni poa tu,hata wachina na wajapan sawa tu.
..........you are right my dear, maana hata mie nina mchanganyiko wa makabila kama 3 hivi sielewi nishike lugha gani!! Hivyo kilichobaki ni kudokoa dokoa baadhi maneno at least nijue salamu na cha kuombea maji.
Huku kuoana kwa muingiliano wa makabila itafika kipindi lugha za asili zitapotea tutabaki na kiswahili tu lugha ya taifa.
..........you are right my dear, maana hata mie nina mchanganyiko wa makabila kama 3 hivi sielewi nishike lugha gani!! Hivyo kilichobaki ni kudokoa dokoa baadhi maneno at least nijue salamu na cha kuombea maji.
Huku kuoana kwa muingiliano wa makabila itafika kipindi lugha za asili zitapotea tutabaki na kiswahili tu lugha ya taifa.
Nimeanza kuingiwa na wasiwasi isije ikawa humu ndani ya Jf kuna watu wanatupiana maneno ya mkato ya hapa na pale kama njia moja wapo ya kutongozana ,ukiangalia Firstlady kila mara au kila wakati utagungunduwa anammesheni Pj isije ikawa fumba macho mwana harasha apite.,kwa mana nyingine mnatuwacha mataani.(kuna rafiki yangu alikuwa apiga simu ndani ya nyuma kwa kulegeza sauti na kujifanya mwanamke na mume anapokea simu na kumpa mke kwa kuamini kuwa ni mwamake mwenza aliye zungumza nae (ongea nae))
I will not waste a milligram of my calorie thinking of a damn comment like this!
There is a matter on hand to discuss, why diverting and going to personal affairs ...will it be a tragedy on earth if at all i relate to her?...huh! batu bengine bana!
Yaani dada Remmy umeongea point sisi wanaume wakisukuma tunajua jinsi ya kuwalea wake zetu,ndio maana mwanamke wa kisukuma hana ubavu wa kumbishia mume wake ili mradi unamtimizia kila akitakacho na unamfikisha mwisho wa safari.Basi wasukuma wamejaliwa kwelikweli. kwani inasemekana hata wanaume nao ni wazuri kuolewa nao. Nakumbuka kuna mama mmoja wa kichaga alitushauri kuwa tuolewe na wanaume wakisukuma kwani wanajua mapenzi na wanajua kulea mwanamke.Alisema angekuwa msichana angeolewa na msukuma, ila alichelewa kugundua ye ameolewa na mchaga mwenzie.
huu wote mnaongea ni uchafu. ongeeni kitu cha maana, mmejaa mawazo ya uzinzi toke A hadi Z. mtaacha lini mawazo machafu hayo? Mungu katuumba sisi sote wazuri, kama ni tabia, shetani ndo anaweza kubadilisha mtu akawa na tabia mbaya, awe msukuma au mnyakusa, msambaa au mhehe, kama hana Mungu, hakika tabia yake lazima itakuwa mbaya tu siku moja hata kama sio leo. ndo maana ninyi ambao wanawake wenu hawamjui Mungu, usalama wenu ni mdogo sana.
shetani anaweza kubadilisha chochote kwenye mwili wa mtu ambaye hamjui Mungu, anaweza kuharibu hata homorns za kike au kiume, halafu ndoa ndani ikawa chungu hata kama huyo mtu ni msukuma, mhaya, au mkurya etc, haijalishi, the most important thing ni namna gani mtu amejiweka kiulinzi wa kimungu hapa duniani, kama hana ulinzi wa kimungu, basi anaweza kuwa yeyote yule wakati wowote ule, anaweza akawa si lolote lile wakati wowote ule hata kama kwasasa unamuona kama ni chochote.
Hongera! Kwa mama haiwezekani ila kwa baba sawa. Una mababa wawili??? Inakuwaje uwe na mchanganyiko wa makabila matatu???π±π±!!