Duh hiyo bold imenikamata sana, well mi nadhani ni mtu kushindwa kuelewa au kujua anataka mwnza wa aina gani, anajiingiza kwa mtu na kuanza kumsoma wakati anakuwa tayari kwenye mahusiano, cha muhimu ni mtu ku focus, kujua nini ni nini, na kitu gani hakipendi......kuchagua mwenza sio jambo la kukurupuka, wengi wetu tunafanya maamuzi ya haraka na kuja kujuta badae, tunapokatishwa ndio tunaanza kujutia maamuzi yetu, mwisho nahitimisha "hakuna kuharibiwa maisha na mtu ni wewe mwenyewe ndio ulijiharibia" kwa kushindwa kuchagua nazi mpaka ukapat koromaMbu sweetie
Nafikiri kuna haja ya watu kuwa na utashi wa kudefine 'mapenzi' ni nini? nini maana ya kupenda/ Tatizo kama hili hutokea pale mtu anapodefine kupenda kuwa ni kumpata mtu ambaye atamkabidhi mwili, moyo, roho na kila kitu chake kwa jina la mapenzi badala ya kuidefine kama kupata mwenzi ambaye ataweza kusaidiana naye kusukuma gurudumu la maisha ya kimapenzi hapa duniani but it doesnt means substituting your very own soul kwa ya mwenzio!! Akikata kamba unajiona huna tena thamani.
Nafikiri tusipende kulalamika ......Umeniharibia maisha.........It is I that I allow that
Remember ....No one screw your life, unless you gave them the screw driver!
Ila wewe unanitisha! what is it??!
Mbu sweetie

Mkiwa makini kwenye maamuzi yenu katu hili halitakukumba kamwe, hii yote inatokana na maamuzi mabaya uliyofanya awali mpaka kupelekea kupoteza miaka mingi kwa mtu ambaye hata hana nia ku ku spend the rest of his/her life with you,mwisho wa siku anakumwaga na kujiona umeharibiwa maisha kumbe katika uhalisia umejiharibia mwenyewe kwa kutokuwa makini, unajua mpoteza muda utamjua tu mapema, sasa wengine wamekuwa na hope kwamba kuna siku atabadilika, wakati kuna msemo wa kuwa mja haachi asili yake

Mbu unajua unapkutana na mtu kama huyu na mawiliWapo wale wanaotikisa kiberiti na wale wanamaanisha kweli. Wanaotikisa kiberiti ndo hao wanaorusha matangazo hewani kuwa watajiua wakati wanaomaanisha anaweza asilipaishe ila akakupa signal. So ni muhimu kuwa makini kabla ya kuamua! Wale wanaotikisa dawa yao ni kuwapuuza tu kama husikii vitisho vyao but unachukua taadhari....hebu niwaulize nyie wana JF Tusaidiane mawazo, maoni na ushauri kuhusiana na hili.Je?[/FONT][/SIZE][/COLOR]Nini mtazamo wako mtu anapokwambia umemharibia maisha!Tatizo nini? kwanini ujifikirie maisha hayana tena thamani bila fulani?Tujadili kwanini kinyongo, chuki, fitna, wivu, hasira, yakichanganyika na mapenzi yanachangia walio wengi kupoteza matumaini ya maisha. Je, utauchukuliaje msiba wa aliyekuwa wako, aliyejiua sababu "umemharibia maisha!," au,Je, unamchukuliaje mwenza wako ambaye anakwambia atajiua kwani maisha yake hayana thamani bila wewe?Nini suluhisho kukabiliana na 'mtihani huo'...lengo, nia na madhumuni ya topik hii ni kuwapa insight ya mental health (kuboresha.)Kwa wenye mioyo dhaifu, natanguliza ombi la msamaha kama nitakuwa nimewakwaza kwa njia moja au nyingine.Nataka kuamini kwamba kila mmoja wetu amejaaliwa utambuzi na uchaguzi. Unapochagua, ina maana pia unajikubalisha matokeo yatayotokana na maamuzi yako.Kumtupia mwenzako lawama ya "amekuharibia" ina maana hukuwa makini kwenye utambuzi na uchaguzi wamaamuzi yako. Ni jinsi gani twaweza boresha utambuzi, uchaguzi na maamuzi yetu kwenye maisha na mapenzi kwa ujumla? WHAT DO YOU WANT IN LIFE?
Mbu sweetie
Nafikiri kuna haja ya watu kuwa na utashi wa kudefine 'mapenzi' ni nini? nini maana ya kupenda/ Tatizo kama hili hutokea pale mtu anapodefine kupenda kuwa ni kumpata mtu ambaye atamkabidhi mwili, moyo, roho na kila kitu chake kwa jina la mapenzi badala ya kuidefine kama kupata mwenzi ambaye ataweza kusaidiana naye kusukuma gurudumu la maisha ya kimapenzi hapa duniani but it doesnt means substituting your very own soul kwa ya mwenzio!! Akikata kamba unajiona huna tena thamani.
Nafikiri tusipende kulalamika ......Umeniharibia maisha.........It is I that I allow that
Remember ....No one screw your life, unless you gave them the screw driver!
Ila wewe unanitisha! what is it??!
Mbu sweetie
Nafikiri kuna haja ya watu kuwa na utashi wa kudefine 'mapenzi' ni nini? nini maana ya kupenda/ Tatizo kama hili hutokea pale mtu anapodefine kupenda kuwa ni kumpata mtu ambaye atamkabidhi mwili, moyo, roho na kila kitu chake kwa jina la mapenzi badala ya kuidefine kama kupata mwenzi ambaye ataweza kusaidiana naye kusukuma gurudumu la maisha ya kimapenzi hapa duniani but it doesnt means substituting your very own soul kwa ya mwenzio!! Akikata kamba unajiona huna tena thamani.
Nafikiri tusipende kulalamika ......Umeniharibia maisha.........It is I that I allow that
Remember ....No one screw your life, unless you gave them the screw driver!
Ila wewe unanitisha! what is it??!
Mkuu una maanisha anaeacha asilaumiwe? lawama lazima ziwepo coz kuna upande wa pili ambao umeathirika na kitendo chako, na kila mtu ana haki ya kujisikia au kufanya afanyalo ili ajisikia au ujumbe ukufikie kwamba kaumia kiasi gani, then utampa reason kazi inabaki kwake, kwa mwenye upeo atafurahi kwamba umemwambia umemchoka kwa sasa, ila king'ang'anizi ndio atakuja na single ya kujiuaMbu kudos kwa hili...
najiuliza mara kwa mara juu ya jambo hili, japo zaidi nawazia upande wa pili zaidi, upande wa mwachaji. ni zipi haki za mtu aliyemchoka mwenza wake?
kwa kawaida mwanzo wa mapenzi ni mutual, ni jambo la pande mbili, ila kuachana mara nyingi ni jambo la upande mmoja.....mwachaji anaanzisha ama anatafuta sababu za kuachana.
ni kwa nini mwachaji anabebeshawa zigo la lawana za kuacha? kama amechoka uhusiano si yampasa kutoka?
najua umelenga kumsaidia anayeachwa!
btw: falsafa yangu ya mapenzi ni kupenda kwa muda uliopo, naamini hakuna binadamu awezae kunifanya nichukie maisha yangu, isipokua mimi mwenyewe.
Mbu kudos kwa hili...

...how relieveing having a soulmate like you!
Mwj1,...life experience imeni shape kwa mengi, na miongoni mwa mawimbi na dhoruba nilizopitia ni pamoja na
mwenza ambaye baada ya makasheshe, na mimi kusitisha mahusiano nae..aliwahi nitamkia 'najiua!, maisha hayana thamani tena!'...I was shocked!
Nilijifikiria hiyo itakuwa sababu ya kuisaidia polisi, nilijifikiria hiyo itakuwa sababu ya mimi kunyoshewa vidole na ndugu, jamaa na marafiki kwamba nilisababisha kifo cha fulani,...nikarudisha moyo nyuma...nikasamehe,...nikajiona mie ndio mkosa kwani nimekosa roho ya utu. Nikawa nami ni sehemu ya tatizo lililochangia yeye kunikosea.
Tangia hapo, kila matatizo yalipokuwa yanatokea nami kufikiria kuhitimisha mahusiano, vitisho viliendelea hivyo hivyo,...Nikaendelea kuwa 'prisoner' wa maamuzi yangu.
Lakini, ipo siku nikajisemea, ipo siku alimeza panadol...hakufa, ipo siku alisaga chupa hakunywa,...ipo siku alitaka jitupa wakati naendesha gari...je? ni kweli ana nia ya kujidhuru au nami ananiweka majaribuni?
Nikasema sasa basi....siku ya siku nilipoamua liwalo na liwe, hapakuwa tena na "it's ok Darling, come back to me! ila usirudie tena"...I went numb...halafu nikaondoka nyumbani,...hakujiua!...ikatokea tena, na tena...mwishowe 'nadhani' akajiona mjinga...akaniuliza "siku hizi hunipendi tena eeh?!"...nikagundua kumbe maisha na mapenzi yanatafsiri nyingi eeh?
It's an emotional blackmailing!