''umenifanya niwachukie wanaume wote ulimwenguni''


Ashadii hujambo jamani?Kuna kutendwa kwingine tema mate chini,kuna mtu alimwambia ex wake mbele ya hakimu kwamba " ....... hata ukisikia nimekufa kama watoto wetu wako kwako wape watu wengine watoto(maana walikuwa bado wadogo then) waje wanizike mimi baba yao ila wewe ukija mazishini sita-ZIKIKA".Sasa can you imagine huyo mtu katendwa kiasi gani mpaka aseme maneno hayo?
 


Kikungu mie mzima dear..... Kutendwa is what makes us more mature.... more wise... more calculative... more appreciative of mahusiano yanayo kuja mbele. Kuambiwa hivo na huyo mwanaume kutaniumiza, nisononesha, nimaliza; ila hakutanivunja. WHY? At the end of the day hayo ni mawazo yake tu.... Na mawazo yake sio absolute na wala sio nguzo za Mwenyezi Mungu. Kama alotendwa atatambua hilo then atatambua pia kua baada ya mda fulani it is OK to move on na kumpata mwingine; Ambae pia nae aweza kukutenda (na hapo ndio where the excitement is) Hujui itakuaje.... Ndio maana unapokua katika mahusiano live the moment, wakati wa raha usichokoe wala kutafuta karaha; Kwani karaha huja bila kukaribishwa wala kupiga hodi.
 
Anataka kupelekewa moto huyo. Msikilizie then mpe kitu, alfu chuna. ana hamu huyo, anazuga tu. Kakumbuka mashine.

 
Haya angalieni Soy Tu Duena kwenye ITV muone vimbwanga vya Valentina alipoachwa kwenye mataa siku ya harusi.
 
Kama ingekuwa hasira zake ni za kweli wewe kwenye listi ndo ungekuwa wa kwanza katika kuchukiwa. Lakini kwa kuwa hadi mawasiliano mmefanya hiyo ni dalili tosha kuwa hakuchukii na kama wewe hakuchukii iweje achukie ambao hajawafungulia pachupachu? We omba re-match na upige hadi kater.... Ila uwe makini asiku-lulu.
 

maneno ya busara sana aunt. Nimeyameza kama yalivyo. Lol
 
Tufundishane kuwa hatupaswi kuwachukia watu kwakuwa tumeagizwa upendo. Unadhani atalipwa nini yule awapendae watu awapendae yeye tu? Ila twapaswa kuyachukia matendo yaliyo mabaya tu sio watu maana kumpenda mtu ni pamoja na kumfundisha ukweli na wema.
 



ni vigumu kwa vichaa kujifunza jambo jipya!!!!!!!!
 
Anakuzuga tu huyo na ww ujiskie mwanaume! Yaani umtende wewe tu wanaume wote wasiwe na maana? Si ajabu anamshukuru Mungu kumtoa kwenye dhahma yako kumuweka kwenye pepo anapopendwa na kuthaminiwa. Hawezi kukuambia hivyo usoni unajua? U shouldn't have asked!
 
maana yake ni kwamba anamanisha nafasi yako bado ipo wazi.
 
Tutapona na Ngoma kweli kwa hivi vidumu???
 

Inawezekana. ila ni ngumu kusema mengi bila kujui kiina au aina ya tatizo ulilomfanyia mwenzako! Tupe kwa kifupi hilo kosa ili tuweze kupima kama linaweza kuwa sababu ya kuwachukuia wanaume wote!
 
Inawezekana. ila ni ngumu kusema mengi bila kujui kiina au aina ya tatizo ulilomfanyia mwenzako! Tupe kwa kifupi hilo kosa ili tuweze kupima kama linaweza kuwa sababu ya kuwachukuia wanaume wote!

kuna wrong text nilikua namtumia kidosho mwingne,bahati mbaya nikajichanganya nikamtumia yeye and at the same time niliisha mcheat ya kwamba she was my only one..ndo ukawa mwanzo wa mtafaruko wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…