kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,879
Eti, umemsevuje mchepuko wako?
Naanza namimi


Naanza namimi






Hivi mbona Mimi sion picha za wenzangu?? Jf mizinguo
Mchepuko yule wa TRA au yule afisa Ugavi.
Kataa ndoa
Kwa Mara ya kwanza katikati maisha yangu nimewaza kukataa Ndoa 😠Kataa ndoa
Hata mimi hazifunguki mpaka nifungulie kwenye browserHivi mbona Mimi sion picha za wenzangu?? Jf mizinguo
Tuanze na wa TRA mwite Zakayo tuMchepuko yule wa TRA au yule afisa Ugavi.
Yule wa TRA nmesave hivi👇Tuanze na wa TRA mwite Zakayo tu
Ha haaa Jinga sanaYule wa TRA nmesave hivi👇View attachment 2612088
🤣🤣🤣 Niendelee ama niishie hapo.Ha haaa Jinga sana
Akuepushe na nin tena.mungu naomba uniepushe....