Hapa kwetu Masasi umeme wetu umekuwa kama wa mshumaa, upepo ukivuma kidogo unazima.
Tanzania ya viwanda yaja..............
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ya viwanda yaja..............
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukatikakatika kwa umeme kila mara sababu aiwezi kuwa gesi wala maji hapo ni miundo mbinu yao ni mibovu tu tanesco huko alipo,unaweza kukuta laini zao zimepita sehemu ambazo kuna miti upepo ukija tu waya zikigusana tu lazima umeme ukatikeHivi gas si inatoka kwenu hapo!
hili ndilo alilosahau mleta uzi.