Umeme wa upepo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wa upepo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jino kwa jino, Dec 27, 2010.

 1. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Salamu za Sikukuu ya Noel na Mwaka Mpya.

  Leo nimesoma habari njema katika gazeti la Mwanachi kuwa Tanzania nimeingia ubia na kampuni ya Power Pool Africa ili kuingiza umeme wa Upepo katika grid ya Taifa. Na gharma yake ni Bilioni 180 tu.

  Hakika mradi huu umechelewa sana kuingia katika Taifa letu kwa sababu kuna maeneo mengi mno unaposafiri unaambiwa funga madiri ya gari sasabu ya Upepo. Ninaomba tutumia nguvu zetu zote kuhimiza mradi huu. Unawezekana na hatutapata shida kama ya maji kukauka au kukosa umeme kuendesha majenerata. La msingi wawekezaji WASANII NA MAFISADI wasipate nafasi. Hakika tutaweza kujikwamu.

  Gharama iliyotajwa ni ndogo mno, maana ni pungufu ya fedha zilizoliwa kifisadi au inazodaiwa Tanesco.

  Tuhimizi mradi huu kwa nguvu zetu zote

  naomba kuwakilisha
   
Loading...