Umeme wa Tanzania usiohitaji mvua

Umeme wa Tanzania usiohitaji mvua

Magita

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
319
Reaction score
144
Eti mvua hata ya dakika 17 tu umeme unakatwa/unakatika, hii sasa si aibu kwa Wawekezaji? Kwahiyo kipindi hiki chote cha masika tutegemee wiki3 kukaa bila umeme, ukiuliza wanasema Hakuna tatizo lolote, Tanzania sehemu yenye ukweli mtu anaficha.
 
Hata mi nashangaa sana kila siku umeme unakatika tokea mvua zimeanza kunyesha,sometime unakaa mpaka Massa 24haujarudi ukipiga emergence namba zote not reachable bash watuambie kama wanabiashara ya magenerator haitoki wanataka itoke tujue kuliko kukata Umeme ovyo ovyo bila taarifa
 
Back
Top Bottom