Mimi pia nililazimika kulala bila umeme jana maana toka jana jioni wanasema network inasumbua lakini hatimaye nimepata umeme jioni hii vituo vyote vya LUKU mchana kutwa wanasema network hakuna, nadhani TANESCO wajipange kwanza kuboresha huduma kabla ya kufikiria kuongeza bei.