Umeme units 28 kwa elfu 10 tumepigwa huwa wanawaza kwa kutumia nini?

We taahira kabisa!

Yule Magufuli unaemtukana humu kila siku ndio alifanya kuondolewa ile elfu 7 uliyokuwa unakatwa kila mwezi ukinunua luku.

Vinginevyo hata hiyo unit 28 ungekuwa hupati bwege we!
Usilete porojo hapa ni lini nchi hii kulikuwa na service charges ya 7000?!!kwa mwezi?zaidi ya kutuaminisha kuwa gesi ya mtwara ndio ingekuwa mkombozi wetu?yakowapi sasa, leo bado tunaaminishwa kuwa umeme kujota bwawa la rufiji, ndio dawa ya yote!!juzi namsikia PM, anasema kuna pesa wamepata za kujengea umeme wa maji, sijui kigoma huko, nao utasaidia sana kwenye gridi ya taifa!!mala kuna wa makaa ya mawe
 
Back
Top Bottom