Umeme umezima kote?

mwanza yoote umezimika saa 6:15.! Tatizo nini haswa wadau.?

Hii ngoma ni nchi nzima ndugu. Sasa imagine for two hours walizokata wamepoteza bilioni ngapi? Lets think greatly hapo. There is no way mtu ataniambia uchumi unakua kwa 7% itakuwa ni among the seven wonders za dunia.
 
Miaka 50 ya uhuru ndio hìi pia UDOM na dodoma nzma hakuna umeme hadi kwa makinda bungeni tunashukuru baba riz a.k.a vasco da gamma
 
jamani grid ya taifa ilishake kwa kuwa na inductive loads kutoka kwenye viwanda. ndio maana mmeona nchi nzima ulikatika. ze grid was dead ispokuwa magogoni ulikuwa unawaka maana hapo kama kawaida
 
Na wale watanzania wa marekani na australia vp huko kwenu gridi haijakatiza?
 
@Bondpost... kuonyesha uzalendo utakuwa umekatika kwenye balozi tu za nchi zetu hapo Marekani na Australia kama unabisha ngoja wajibu....
 
Asanteni wanajamii, naona wamesikia kilio, maana betri yangu ndo imelia alarm tu, na Jamaa hapo kwenye kitufye akabofya, mtaalamu unaehusika, tungependa kujua kilichojiri
 
Huku kwetu liwaka saa tisa na saa 11 alfajir wakachukua tena mpaka sasa haujawaka...
 
Back
Top Bottom