Dah! haya banaa! Wacha giza litande nchi nzima, uzalishaji ushuke kwa kiwango kikubwa, watu chungu nzima wapoteze ajira, Serikali ishindwe kukusanya kodi kama ilivyotegemea, Gharama za maisha zipae....Huku nchi za majirani zinapiga hatua na kutuacha kwa masafa marefu....Ndiyo bongo hiyo!!! Akili mkichwa!!!..
Nipo guest halafu wamekata, shughuli yote imeharbka hapa. Tuliwasha tv il kuzuia sauti zetu zisicsike lakin tushaumbuka.
Hapo ni sawa na kutia naz kwenye kongoro
@Mysteryman uko Tanesco mkuu? Jikoni kabisa? Utani bwana ila hi mada naona umelenga hii itakua nchi nzima.... sasa sijui ndio nini tena hii jamani... ngoja tusikie kesho