Umeme umenishinda

Joined
Oct 17, 2012
Posts
43
Reaction score
10
Wana JF,naomba tushauriane kuhusu hili suala la umeme,tokea bei imepanda ni siku ya 9 tu leo lakini mwenzenu umenishinda kabisa mpaka sasa nafikiria kurudi kwenye taa ya chemli au kibatari,kwa mahesabu ya haraka kama ntaendelea kuweka umeme naona mwisho wa mwezi 30% ya mapato yangu itaishia kwenye umeme,kwa style hii tutaweza kula,kulipa ada,kulipa matibabu,maji,n.k? Halafu kuna hizi gharama za service charge na VAT huongezwa.

Wana JF wenzangu mnamudu hii hali na kama ndivyo mnafanyaje kufanikiwa?
Nashangaa sijaona vikundi vya wanaharakati vikiandamana katika hili

Nawasilisha.
 
Duh!! mi cjui kwasababu cjitegemei.. yan hata sion hatari yake!!! mwe!! ngoja niwapishe wengine..
 
Bypass hiyo mita...
 
hapa mpaka kuna mkono wa mtu siyo hivyo kiasi hiki
 
Ukimya uliopo ni madhara ya kesi ya Zitto na CHADEMA. CCM wanashangilia ushindi! wakati wananchi wanalia....
 
Afadhali, wakiongezeka wengine wengi tu mgao wa umeme hautakuwepo!
 
wapi wanaharakati, cdm, analelia nkya and co.
Ndio mjue siasa za bongo ni majitaka, wote kimya hakuna mwanasiasa hata mmoja alienena.
 

Wenzio tushaacha kulalamika kitaambo, ni PM nikulishe umeme live from KIDATU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…