Umeme Umeme Umeme....

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
9,242
8,323
Jamani umeme umekuwa umeme, Mwanza hatuna umeme siku ya tatu leo, nashangaa sijui tanesco wote wameenda likizo au ni nini? Sasa haya maendeleo si hadi Yesu arudi!
 
sio mwaza tu huku arusha kuabaadha maeneo unekuwepo ila mbauda morombo siku ta nne hakuna ivi maisha yatakwenda kweli au niusaii tu
 
mlichagua sisiemu wenyewe,sasa mnaona,wacha kipanya aendelee na uupuuzi wake,
jamani tutafakari.
 
Jamani umeme umekuwa umeme, Mwanza hatuna umeme siku ya tatu leo, nashangaa sijui tanesco wote wameenda likizo au ni nini? Sasa haya maendeleo si hadi Yesu arudi!
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Watu wanalitaja jina UMEME mara nyingi zaidi ya jinsi wanavyolitaja, kwa Utukufu, jina la Yehova Mungu.
 
Back
Top Bottom