Umeme umekatika nchi nzima?

Bavicha ni baraza lilojaa vijana wajinga na waropokaji wengi!
Mimi nimeangalia habari na umeme hupo...

sio wajinga tu ni Baraza la vichaa chadema(Bavicha) kama huyo luku imemkatikia anaeneza uzushi. Hao vichaa ni kazi maalum wamepewa hiyo
 
Haujakatika nchi nzima. Hapa Dodoma unawaka.
 
nipo mwanza town kamanda umeme upo na tumeangalia taarifa ya habari bila tatizo
 
Ulongo ungine bhana, eti umeme meme mekatika chi nzima!
 
Mbezi toka asubuhi majanga hadi sasa 21.03 hrs Hanna stima!
 
Naona na TANESCO wamegoma maana toka jana umeme hakuna.Sasa na wao wanamsubiri KUB.Haya KUB tusaidie na penxe hizi haw aTTAANESCI wamegoma kutupa umeme.Visingizio haviishi.Sasa na hili nalo ni CHADEMA.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…