Dah! Kwa hili mnaisingizia CCM. Itakuwa LUKU zenu zimeishaTANESCO ni wezi kupitia CCM
Kwani mkuu usipotukana keybord inagoma?? jaribu kutumia maneno ya staha kidogo, ujumbe utafika tu.Bavicha ni baraza lilojaa vijana wajinga na waropokaji wengi!
Mimi nimeangalia habari na umeme hupo...
Kwani mkuu usipotukana keybord inagoma?? jaribu kutumia maneno ya staha kidogo, ujumbe utafika tu.